Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Binafsi naichukia Kenya kutokana na wivu wao na chuki zao kwetu. Hakuna zuri tutafanya likawapendeza wakenya. Muda mwingi wanatubeza sana watz ktk blog zao mbalimbali. Iwe ni wasanii wetu, maendeleo yetu kiuchumi,siasa zetu,rasilimali zetu hadi vivutio vyetu. Sawa wanatubeza hatujui kiingereza kwa kupima wasanii wetu wa muziki na filamu kitu ambacho sio kipimo halisi kwa maana ukiangalia wasanii wengi hapa nchini sio wasomi, na wengi wao wametoa historia zao kisanaa kuanza baada ya kuacha shule,kufeli kidato au mazingira magumu yaloyopelekea kuacha elimu na kugeukia sanaa. Sawa tumekubali hatujui kiingereza lakn tukikazana na kiswahili chetu na ikitokea filamu au wimbo unaotumia maneno ya Kiswahili ukatamba kimataifa na kuimbwa na mtu mashuhuri wa kimataifa basi haohao wakenya ndio wa kwanza ku claim lugha kuwa ni yao hivyo credit ziende kwao. Not to mention namna wanaovyoutangaza mlima Klm kama wa kwao na kuvutia wageni kutua kwao na kuarrange wageni hao kutembelea mlima kupitia makampuni ya tours ya Kenya. Everything nice and perfect about Tanzania is theirs na wana claim publicly kabisa, ni vingi wanafanya ila kwa hayo machache yanatosha,mengine nitaongeza badae.
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Sisi hatupendi wivu wenu! Hamna Mtanzania anamchukia Mkenya! Google juzi imeonyesha nani ana husda dhidi ya mwenzie!

Kiufupi huwezi kuta Tanzania'so top 10 ina anything about Kenya, yet alone negative! Mna roho ya kichawi dhidi yetu!
 
Binafsi naichukia Kenya kutokana na wivu wao na chuki zao kwetu. Hakuna zuri tutafanya likawapendeza wakenya. Muda mwingi wanatubeza sana watz ktk blog zao mbalimbali. Iwe ni wasanii wetu, maendeleo yetu kiuchumi,siasa zetu,rasilimali zetu hadi vivutio vyetu. Sawa wanatubeza hatujui kiingereza kwa kupima wasanii wetu wa muziki na filamu kitu ambacho sio kipimo halisi kwa maana ukiangalia wasanii wengi hapa nchini sio wasomi, na wengi wao wametoa historia zao kisanaa kuanza baada ya kuacha shule,kufeli kidato au mazingira magumu yaloyopelekea kuacha elimu na kugeukia sanaa. Sawa tumekubali hatujui kiingereza lakn tukikazana na kiswahili chetu na ikitokea filamu au wimbo unaotumia maneno ya Kiswahili ukatamba kimataifa na kuimbwa na mtu mashuhuri wa kimataifa basi haohao wakenya ndio wa kwanza ku claim lugha kuwa ni yao hivyo credit ziende kwao. Not to mention namna wanaovyoutangaza mlima Klm kama wa kwao na kuvutia wageni kutua kwao na kuarrange wageni hao kutembelea mlima kupitia makampuni ya tours ya Kenya. Everything nice and perfect about Tanzania is theirs na wana claim publicly kabisa, ni vingi wanafanya ila kwa hayo machache yanatosha,mengine nitaongeza badae.
mkuu cjaona kosa apoo!! Yan umeonyesha tuu uzembe wetuu watZ kwao fursa
 
Walituingiza mjini na madini yetu ya Tanzanite na kueneza mlima Kilimanjaro upo Kenya.
Wakenya ni wakorofi Hamna ubinadamu. Kuna ndugu yangu alinunua masufuria semi trailer kwa thamani ya mil.150 akapakia lakini gari ilizungushwa kidogo ikatokomea kusikojulikana . wafanyabiashara wengi wanaibiwa. Kenya kila kitu mnatumia ujanja tu ili mfaidike na Mali za Tanzania. Mifano ni mingi kwenye utalii,madini ,na Biashara ya Horticulture mnachukua bidhaa ya Tanzania mnazipa label ya Kenya. Ingawa mnatumia advantage ya mifumo yetu dhaifu mkanufaika. Lakini mwananchi Wa kawaida analishwa sumu na viongozi Wa Tz kuwa Kenya ni nchi ya manyang'au na bila kureason source kwa sababu ya ELIMU ndogo yetu tunajenga chuki dhidi yenu automatically. Pia Tz na Kenya zinapambana nani zaidi kwenye EAC kwa hiyo fahari wawili hawawezi kuwa maswahhiba kwenye zizi moja lenye majike, automatically kutakuwa na lugha ya vuta nikuvute, lakini siyo kwamba tunachukiana Bali tunashindana kudominate EAC.
 
Et Kenya na Tz mafahali wawili!!

Acha kuiunderate 254, mzee
 
Tanzania tuliwafukuza mabeberu, Kenya mkawakumbatia wakawafundisha kithungu. Mali na ndege za ushirika wetu wa Afrika mashariki mkaa navyo hadi leo. Wakenya tunawapenda sana kama na nyie mnavyopendwa na wathungu. Sisi ni ndugu mmoja adui yetu ni mthungu.

Sent from my SM-A415F using JamiiForums mobile app
 
Personally I have lot of friends and relatives within Arusha and Kilimanjaro sina chuki na Tz ila sema those few low IQ ccm sycophants ndio wamejaa na chuki dhidi ya Kenya
hapo huchelewi sema hata mlima upo Kenya na hao marafiki wa Arusha ilibidi wawe Kenya...Baki huko huko hatunaga ubaguzi hadi kati ya wazazi kisa sijui ukabila
 
Back
Top Bottom