Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani,
Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??