Watanzania kwenye jeshi la Marekani

Watanzania kwenye jeshi la Marekani

Hao sio watanzania tena.

Wameshakabidhi pasi zao za kitanzania na kuukana uraia.

Wakirudi Tanganyika wanakuja kama raia wa nchi nyingine.
 
Shukrani. Sasa mfano kijana anakitambulisho cha NIDA, then akaenda kukana uraia bila kunyang'anywa, si upo uwezekano wa kuendelea kutambulika kama raia? Au yule asiye na kitambulisho, akarud likizo na kuprocess kitambulisho cha NIDA upo uwezekano akatambulika bado raia wetu, nipo sawa???
Akiingizwa kwenye system ataonekana ni mgeni kutoka Marekani, hatopewa kitambulisho.
 
Je mahusiano yao na jeshi letu ni upi?? Wanavyorudi nchini wakiwa na mafunzo ya kijesh sio hatari??!
Nchi hii ilivyo haribiwa vibaya na ccm unafikiri wanaoenda huko wana hamu tena ya kurejea huoni hata akina Mange Kimambi wamekatalia huko.

Truly speaking, Tanzania is a hell on earth with nothing to show in development terms and the government has made the repression of the opposition its core policy.
 
African American Mercenary, Dogs of War
 
Nchi hii ilivyo haribiwa vibaya na ccm unafikiri wanaoenda huko wana hamu tena ya kurejea huoni hata akina Mange Kimambi wamakatalia huko.

Truly speaking, Tanzania is a hell on earth with nothing to show in development terms and the government has made the repression of the opposition its core policy.
Usirudie tena kuandika kizungu unatutesa
1000445675.jpg
 
Hao sio watanzania tena.

Wameshakabidhi pasi zao za kitanzania na kuukana uraia.

Wakirudi Tanganyika wanakuja kama raia wa nchi nyingine.
Dhana nzima ya uraia wa nchi kama ilivyo sasa ni ujinga mtupu.

Siongelei uraia wa Tanzania, naongelea uraia wa nchi yoyote.
 
Una nizungumzia mimi brigedia wa jeshi la Marekani
 
Je mahusiano yao na jeshi letu ni upi?? Wanavyorudi nchini wakiwa na mafunzo ya kijesh sio hatari??!
Ni kama madereva wa Tz kule USA, wakiwa kule ni madereva kama wenzako lakn wakija Tz hawana.uhusiano na chama Cha madereva huku bongo, wanakuwa na mishe zai.tu mitaani, no uhusiano.
 
Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani,

Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
Hao sio Watanzania, bali Wamarekani wenye asili ya Tanzania.
 
Hao sio watanzania tena.

Wameshakabidhi pasi zao za kitanzania na kuukana uraia.

Wakirudi Tanganyika wanakuja kama raia wa nchi nyingine.
Wangekua wamejiunga jeshi la saudi arabia sidhani kama wangeruhusiwa kurudi tz
 
Back
Top Bottom