hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,242
- 3,166
Mwanajeshi wa marekani anamuona Mwanajeshi wa Africa kma mgambo
Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
Kwanza pambana uwe raia wa USA.Naweza kupata connection
Sifikiri hivyo. Marekani wanakubali uraia pacha hivyo maadamu wamekupa uraia au una ukazi rasmi, hawatakwambia uukane uraia wako. Kwa mtu mwenye resident permit (Green card) akiwa jeshini bado atakuwa raia wa Tanzania kwani atakuwa bado hajaupata uraia wa US na akisafiri atasafiri na passport ya TZ.Unarudisha passport ya TZ, unachukua ya Marekani