- Thread starter
- #41
🤣🤣🤣🤣Usirudie tena kuandika kizungu unatutesa
View attachment 3350385
🤣🤣🤣🤣Usirudie tena kuandika kizungu unatutesa
View attachment 3350385
DJs hawana impact ya moja kwa moja kwenye usalama wa nchi.Na na DJ wa kitanzania walioko Marekani je
Hongera sana Major Nyani Ngabu.Mimi tayari ni mwanajeshi mwenye cheo cha major.
Na mimi mwambie natakaBoss, Mm naomba hy connection
TZ bado nchi ya giza,aturuhusu dual citizen,so ukiwaona wa TZ wapo kwenye jeshi la US au UK basi watakua wameukana uraia wa TZWana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani,
Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
Upo Georgia?Mimi tayari ni mwanajeshi mwenye cheo cha major.
Fafanua vizuri , kama sijakupata ujinga wake ni nini hasa?Dhana nzima ya uraia wa nchi kama ilivyo sasa ni ujinga mtupu.
Siongelei uraia wa Tanzania, naongelea uraia wa nchi yoyote.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wajuaji bhana🤣🤣🤣🤣🤣Mie nilijua unataka networks ningekuunganisha na mtu Ila sio ishu, hizo kazi nje wanachukua raia wa nchi masikini from Asia, central America and Africa
Mimi tayari ni mwanajeshi mwenye cheo cha major.
Dhana nzima ya uraia wa nchi kama ilivyo sasa ni ujinga mtupu.
Siongelei uraia wa Tanzania, naongelea uraia wa nchi yoyote.
Je mahusiano yao na jeshi letu ni upi?? Wanavyorudi nchini wakiwa na mafunzo ya kijesh sio hatari??!
DJs hawana impact ya moja kwa moja kwenye usalama wa nchi.
"Nationalism is an infantile disease, it is the measles of mankind" - Albert Einstein.Fafanua vizuri , kama sijakupata ujinga wake ni nini hasa?
Mimi ninaamini uraia una privileges zake mkuu baina ya nchi na nchi, hata kwako wewe naamini kabla hujachukua uamuzi wa kuchukua uraia wa US uliona benefita zinaoutweigh za kuendelea kuwa mtanzania.
Ninaweza kukupa mfano mmoja tu wa privileges , hebu angalia ile issue ya yule kijana mtanzania aliyeuwawa na magaidi wa Hamas kule Kibbutz ile issue ilivyokuwa handled na serikali ya Tanzania sidhani kama serikali ya US ingekubali kirahisi ile issue kupotea kiaina ile na hata balozi ya Tanzania hakuna alert walitoa ilhali walijua kuna wanafunzi wa kitanzania pale kwenye lile eneo waliokwenda kwa mafunzo ya kilimo pengine hata ile video isingevuja basi tusingewahi kujua kilichompata yule kijana.
Mkuu embu Lete shavu Hilo kikubwa pesa
Binafsi nikipewa nafasi ya kuukana uraia wa Tanzania Ili niwe hata msomali siwezi kukataa kabisa.Wengine wapo Jeshi la Uingereza, ila ukienda Ubalozini (Tanzania) kuomba ruhusa wanakukatalia.
Uraia wa Tanzania wanakua wameukana.
Kashogi ali'danganywa' na passport ya Marekani kuwa itamlinda. Kilichotokea Uturuki ni simulizi mbaya!!!Unarudisha passport ya TZ, unachukua ya Marekani
"Through! LIC-YY or FA 48, over"Mimi tayari ni mwanajeshi mwenye cheo cha major.
Naweza kupata connectionMie nilijua unataka networks ningekuunganisha na mtu Ila sio ishu, hizo kazi nje wanachukua raia wa nchi masikini from Asia, central America and Africa