Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia

Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia

Unabwabwaja tu bila kuwa na hoja. Hivyo ulivyopoyoyo nchi zinazojifungia ndani na kutangaza idadi kubwa ya maambukizi ndiyo wakifikwa na misiba viongozi wa nchi nyingine watakwenda?

Yaani waogope kuja Tz kwa kuhofia Corona kwakuwa hatuchukui hatua madhubuti kwa maoni yako, halafu waende Kenya wanaotangaza maambukizi ya watu 1000 kila baada ya masaa 24? Na takwimu hizo za kutisha watakwenda tu kwakuwa wao wanatangaza?

Hizi bangi unazotumia hebu badilisha
 
Muwe wazalendo basi. Au mmetumwa na mabeberu? Hii ni vita ya kiuchumi. Bro Magu chapa kazi. Usisikilize kelele za chura. Hongera sana kwa kulijengea taifa heshima
Awamu hii ukiwa mnafiki ndio mzalendo hodari
Ukiwa hujui vizr lugha ya kiingereza yan wewe bonge la mzalendo
Ukisifia vitu ya kijinga yan wewe ni giant katika uzalendo
 
Unabwabwaja tu bila kuwa na hoja. Hivyo ulivyopoyoyo nchi zinazojifungia ndani na kutangaza idadi kubwa ya maambukizi ndiyo wakifikwa na misiba viongozi wa nchi nyingine watakwenda?

Yaani waogope kuja Tz kwa kuhofia Corona kwakuwa hatuchukui hatua madhubuti kwa maoni yako, halafu waende Kenya wanaotangaza maambukizi ya watu 1000 kila baada ya masaa 24? Na takwimu hizo za kutisha watakwenda tu kwakuwa wao wanatangaza?

Hizi bangi unazotumia hebu badilisha

Uzi huu umejikita kwenye yaliyotufikisha hapa tulipo. Yote ya msiba wa mzee Mkapa hayo ni moja tu. Imeelezwa wazi kuwa:

"Mifano iko mingi mno na katika nyanja nyingi."

Huna nia ya majadiliano ya kiutu uzima yenye tija na yenye kujikita kwenye hoja. Hoja hushindanishwa kwa hoja, kwenye jamii iliyostaarabika lakini.

Kama mapoyoyo wenzio wote na njaa zenu mliojipambanua hivyo, mmoja mmoja kwa wakati wake, mtakuwa si sehemu ya majadiliano ya msingi yenye kuhusisha waungwana.

Message sent and delivered.

Bye bye amigo don't even mind to write back.
 
Corona imesababisha yote hayo, mnakuza tu mambo
 
Haka kajamaaa ni kapuuzi,mkapuuze.

Kanaumwa corona.
 
Watanzania bila kuondokana na hili jiwe linalotufanya tujikwae hatuendi popote. Mtu huyu hana upeo inajulikana wazi ndio maana anaishia hapa hapa hawezi hata kufanya diplomasia na mlevi Uhuru atawezaje na wengine wa Ulaya, Asia, etc
Wewe kilaza hangaika na maisha yako.

Usitafute mchawi kwa umasikini wako wakati nguvu unazo.

Nyinyi kenzania mko wengi sana humu na tunawajua nia zenu ni zipi,tutawanyoosha kule kwenu mpaka mjiharishie pumbaavu.
 
Ila mkuu tatizo ni lipi kwa sababu kwenye msiba kulikuwa na wageni wengi tu na palizingatiwa tahadhari za kujikinga na corona na wengi tuliwaona wamevaa barakoa,ina maana wale wageni waliyokuja pale kwenye msiba ni kwamba walikuja kwa sababu Tanzania tunasema hakuna corona? Au kwamba wao hawajari afya zao kwa kwenda kwenye msiba nchi ambayo haipimi watu corona?

brazaj
 
Uzi huu umejikita kwenye yaliyotufikisha hapa tulipo. Yote ya msiba wa mzee Mkapa hayo ni moja tu. Imeelezwa wazi kuwa:

"Mifano iko mingi mno na katika nyanja nyingi."

Huna nia ya majadiliano ya kiutu uzima yenye tija na yenye kujikita kwenye hoja. Hoja hushindanishwa kwa hoja, kwenye jamii iliyostaarabika lakini.

Kama mapoyoyo wenzio wote na njaa zenu mliojipambanua hivyo, mmoja mmoja kwa wakati wake, mtakuwa si sehemu ya majadiliano ya msingi yenye kuhusisha waungwana.

Message sent and delivered.

Bye bye amigo don't even mind to write back.

Hoja yako ina mapungufu ambayo hutaki kukubaliana na ukweli huo, Angalia post yako ya kwanza unafanya illogical comparison eti unacompare wageni waliofika kipindi cha msiba wa Nyerere na huu wa Mkapa, hivi kweli Mkapa unamfananisha na nyerere kwa popularity? Hivi ni kweli kuwa ikitokea leo Thabo Mbeki wa Afrika kusini amefariki tutauona uleule umati uliofika kwenye mazishi ya Mandela?

Umeongelea Malawi kutokutuma ujumbe wao kwenye msiba, hivi unajua kuwa Malawi ni kama Tanzania tu tunavyoichukulia Corona labda walichotuzidi wao ni kuendelea kufunga viwanja vya ndege tu lakini approach yao ni hii hii ya maombi ya siku 3 kwa Mungu. Sasa kama sisi ndiyo role model wao unakigezo gani kusema kuwa hawakuja kwasababu hatuchukui hatua mathubuti dhidi ya Corona. Mungu aepushe lakini nakuhakikishia kwa kipindi hiki hata akifa Trump usitegemee kuona nyomi la viongozi wote duniani kwenda U.S.A na sababu ni simply Corona.
 
Mhhh! Muhimu kuzikwa tu?

Kuchukiwa na wote ni changamoto nzuri? Mfano ya achukiwaye na wote ni shetani peke yake.

Gandua mawazo yako. Acha kujidanganya.
Zambia, drc, Malawi, msumbiji uganda, Rwanda wanatuchukia kwa lipi?

Naomba unidadavulie mkuu
 
Zambia, drc, Malawi, msumbiji uganda, Rwanda wanatuchukia kwa lipi?

Naomba unidadavulie mkuu

Tambua yafuatayo katika majadiliano.

1. Nyuzi mbili moja ikielezea matokeo ya hoja katika uzi mwingine.

Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia

Huo hapo juu ni matokeo ya hoja zilizopo kwenye uzi huu hapa chini:

Corona: Mizozo ya mipakani, wa kulaumiwa ni Tanzania

Ambapo sasa tumekuwa kama wana wakaidi vile.

2. Kutokea kwenye #1 hapo juu sasa hivi hatusomeki. Jamii ya kimataifa inatushangaa. Tunatengwa au tumechagua kutengwa au kujitenga.

Uzi huu unatambua kuwa huu siyo uchaguzi ulio bora.

Kwamba kuna neno "chuki" katika nyuzi zangu mbili za rejea kwenye hoja iliyopo? Si katika nyuzi zote mbili wala mabandiko yoyote yaliyofuatia. Hakuna neno "chuki" popote pale.

Tofautisha bandiko lolote kujibu poyoyo yeyote kabla ya kujiridhisha na kumkirimu stahiki yake kwenye ile list yetu pendwa.

Tambua neno "chuki" limeanzia comment #25. Hivyo basi, nukuu yako yenye kutumia comment #26 nikimjibu poyoyo yule kama alivyonijia na mapovu yake haiwezi kudakiwa juu juu kama msingi sasa wa majadiliano endelevu, labda kama wewe ni yule poyoyo mwenye #25 aliyeanzisha hoja hiyo mpya kutokea alikoiokota.

#25 na #26 ziko hapa chini:

IMG_20200804_173415_591.jpg

IMG_20200804_172146_018.jpg
 
1. Vyema umetambua kuwa kuna kususiwa na nchi zingine. Tambua pia kuwa hata kama na wewe ulimsusia mzee Mkapa, wengine hatukumsusia.

Tulikuwapo Uhuru, JKNIA na wengine hata Lupaso kwa dhati kabisa, achilia mbali ambao hawakuweza kuingia pale Uhuru.

Wewe ulikuwa pande ipi katika sehemu hizo 3?

Hiyo ndiyo Tanzania tunayoijua, tunayoitaka, tutakayoidai na kuipigania siku zote. Hiyo ndiyoTanzania ya Nyerere (rip), Mwinyi, Mkapa (rip) na Kikwette ambayo kila mpenda amani, haki, kweli, ustawi nk, kokote aliko anaitamani. Tanzania inayothamini watu, utu, uhuru na maisha yao. Tanzania ambayo ilikuwa inapewa uzito wake iliostahili kote duniani.

Tanzania iliyokuwa inatambua binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.

Tanzania iliyokuwa na tofauti za wazi na ushetani.

2. Usilinganishe Tanzania na Israel kana kwamba Israel inakubaliana na ushetani na mkururo wa hayo yaliyotufikisha hapa.

Fahamuni kuwa hatudanganyiki na wala hamtatunyamazisha. Ukweli mnaujua ila mnajifanya hamnazo.

View attachment 1526083

Ushahidi wa kuwa kuna chuki au hasira uko wapi?

Hamtatutoa kwenye hoja za wazi hizi ambazo kila mtu mkiwamo nanyi wameza OmO mnaziona. Wala hatutakubali kuwa sehemu ya kujidanganya.
Nimeshajibu hoja zote. Umebaki na lawama , sina cha kukusaidia
 
Nimeshajibu hoja zote. Umebaki na lawama , sina cha kukusaidia

Wapi umeombwa msaada?

Haya ulijibu?

Umejibu katika pande zile tatu JKNIA, uhuru na Lupaso. Wewe uliweza kufika wapi?

Ushahidi wa chuki na hasira uko wapi?

Hapana lawama popote bali plainly narrated facts.
 
Ukiwa na hoja nyingine utaleta , siwezi rudia majibu , haya sio matangazo ya kifo , ulivyokuwa mtoto una hoji mimi nilikuwa wapi? hilo swali anapaswa anihoji mke wangu
 
Ukiwa na hoja nyingine utaleta , siwezi rudia majibu , haya sio matangazo ya kifo , ulivyokuwa mtoto una hoji mimi nilikuwa wapi? hilo swali anapaswa anihoji mke wangu

Majibu na maswali yako ni ya kitoto kuliko maelezo.

Nikuulize maswali ya mkeo?

Poyoyo la kutupwa wee!

Bye bye amigo don't even mind to write back.
 
Majibu na maswali yako ni ya kitoto kuliko maelezo.

Nikuulize maswali ya mkeo?

Poyoyo la kutupwa wee!

Bye bye amigo don't even mind to write back.
Kama unaweza kiswahili andika kiswahili , kama unaweza kiingereza andika kiingereza , usichanganye lugha huo ni upuuzi mwengine ulionao
 
Jana kwenye mkutano wa ACT binafsi nimemuona mtu mmoja tu aliyevaa barakoa katika umati wote ule,hata Ndugu Zitto na Membe nao hawakuona umuhimu wa kuvaa barakoa ndio kwanza wanashikana mikono na Lissu.

Ni wazi wao nao wamekubali kudanganywa kuwa Tz hakuna corona tena.
 
Mkuu hiyo ni point of addition (badala ya correction) zaidi sana ya kuwepo tu. Tulikuwapo tukapewa na heshima zaidi kutoa speech.

Hata kwenye msiba wa rais Moi (rip) zaidi sana ya kuwapo, tulipewa pia heshima kama hiyo ya kutoa speech.

Hii ni kama ilivyokuwa kwa Madeline Albright mwakilishi wa beberu kwenye msiba wa mwalimu (rip).
Prof. Lumumba alisifia sana sijui kwa sasa ana maoni gani.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Prof. Lumumba alisifia sana sijui kwa sasa ana maoni gani.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

Yule time saver tu. Alikuwa wakili no 1 wa Kenyatta. Akiwa Kenya anamsifia Kenyatta. Akiwa Tanzania kama vile. Akiwa Rwanda vivyo hivyo na akiwa Uganda pia.

Inawezekana vipi akawa rafiki wa Mungu na shetani kwa wakati mmoja?
 
Back
Top Bottom