Ndugu watanzania nawashauri mzidi kuungana kibieshara na nchi za kiaarabu.
Waarabu wanapenda waafrika na wanawaona waafrika ni kama ndugu zao wa karibu sana.
dalili kubwa ya haya nayoandika ni kuona baina ya waarabu na waafrika kwa idadi kubwa sana huko Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, Zaire na Comoros...... kuliko makabila mengine ya kigeni yote.
Mimi nawajua waarabu na mapenzi yao makubwa sana kwa ndugu zao waafrika.
Team yeyote ya mpira ya Kiafrika ikiwa inacheza na timu hata kama ya Asia kama vile Japan au Korea au inchi yeyote ile wote waarabu wanaishangilia timu ya kiafrika tu na ikishinda wanajiona kama wao ndio walioshinda.
Na pale Ghana ilipo tolewa na Urugwai katika world cup ya huko South Africa kwa dhuluma ilikuwa kama vile kuna kilio kikubwa huko Muscat na Dubai.