Watanzania hatuwezi kuiga lockdown kama nchi za Ulaya

Ni bora tufe kwa Corona kuliko kufa kwa njaa pale tutakapojifungia, maana njaa inatesa sana ndio ufe.
 
Haya mambo haya ni mazito sana tuombe Mungu atuepushe tu laa sivyo tatizo likiendelea kukua hiyo lockdown itahusika tu na raia watateseka hivyo hivyo maana hakuna namna
Mwenyezi Mungu anajua na anatukinga so far - Kwa mfano angeachia gonjwa likaendea - Africa kama huko Ulaya na US basi Afrika ingefutika kwenye uso wa dunia....ingebakia historia tu kwamba kuna watu weusi waliishi huku. - Guys nchi kupoteza watu 900 kwa siku si kitu cha mchezo ati.
 
Kweli ingekuwa hatari zaidi chief, basi wacha tumuombe azidi kutusimamia na kutulinda zaidi
 
Mtakapo ona wanajeshi wako mitaani wakati wa lockdown Ndio akili itawaingia
 
Andiko lingine la kijinga!!

Ujinga zaidi ni pale maandiko yenu mnapoyaambatanisha na manamba namba mkidhani ndo mtaonekana werevu wazee wa data huku mkisahau kuna tofauti kati ya kuandika data na ku-analyse data!!

Ajabu wote hamna hoja ya maana mnayotaja zaidi kusema wanaokufa ni wazee utadhani bibi na babu zenu ni vijana!! Au hata bibi na babu zenu wakifa ni poa tu kwa sababu ni wazee sio?!

Umbumbumbu wenu mwingine ni pale mnaposhindwa kufahamu kwamba issue hapa sio uzee kwa kuangalia miaka bali ni namna ni uimara wa kinga waliyonayo waathirika!!

Sasa wakati wenzenu hawana kinga ya kutosha kutokana na umri, nyie wa Kwa Mtogole ni wangapi wana kinga dhaifu inayotokana na maradhi kamavile HIV, AID, TB, ukosefu wa lishe bora na mengine kama hayo?!

Yaani pamoja na kutujazia minamba kwenye maandiko yenu mnasahau kwamba wakati wengine wanakufa kutokana na kukosa kinga kwa ajili ya uzee wao, Miafrika mtakufa kutokana na kukosa kinga inayotokana na madhira yenu ya kiafrika!!!

Umbumbumbu wenu mwingine ni pale mnapoona hoja ya msingi ya kumtetea Magufuli ni issue ya lockdown wakati kuna mengine kadhaa yanafanyika na serikali ipo kimya!!

Leo hii Humphrey Polepole akifa, pale Kinondoni Makaburini kutajaa mamia kama sio maelefu watakaoenda kumzika kwa sababu serikali bado imeachia mikusanyiko kama hiyo iendelee!!!

Je, kuna makumi na mamia mangapi ya Watanzania wanaendelea kukusanyika kwenye misiba, harusi, misikitini, makanisani na sehemu nyingine kama hizo?Na wanaendelea kukusanyika kwa sababu serikali bado inaendelea ku-entertain hata mikusanyiko isiyo na lazima!

Au hata mnapokusanyika kwenye misiba, maharusi, makanisani, misikitini n.k na kwenyewe ni chanzo cha milo ya watu, na kwamba serikali ikipiga marufuku watu watakufa njaa?!!

Halafu watu aina yenu mlivyo wanafiki, Magu maji yakimfika shingoni wakati mambo yameharibika zaidi mtarudi tena hapa na kumpongeza huku mazuzu wengine wakisema hapo kabla alishauriwa vibaya!!
 
Siku ukisikia tangazo LA lockdown nchini,utacmaje ndugu!
Wana JF, Heshima kwenu wote

Naona mitandaoni na baadhi ya wanasiasa wetu hapa bongo wakionekana kutamani nchi yetu iige kufanya lockdown kama walivyofanya Ulaya, Marekani na nchi nyingine tajiri zilizofanya hivyo. Ukweli ni kwamba hayo ni mawazo ya kipuuzi na ya kipunguani ambayo sijui mtu anakua na akili au matope kichwani mapaka kufikiria namna hiyo!!! Kuna yule mwanadada maarufu mitandaoni aishie Marekani, kila siku yeye anatabiri kuwa kama tusipofanya lockdown kama huko aliko Marekani basi tutaanza kuzikana 700 kwa siku.

Jamani hebu tutumie akili na kwa kweli hili nampongeza sana Rais wetu kwa kutopanick na kuanza kuiga ujinga kama huo. 85% ya Watanzania ni ili apate mlo na kipato ni lazima atoke, aende kibaruani au sokoni akauze vitu ndio apate kula yeye na familia, watu hao hakuna mwenye uwezo wa kuwa na akiba hata ya siku tatu za mbele, huyu unamwambia akae ndani na unaweka magari ya kuwasha washa akitoka unamwagia ili arudi ndani akafe njaa? Unamuepusha na Corona unamuua na njaa.

Takwimu zinaonesha mafua haya yanaua wazee wenye 65 years plus na watu wenye magonjwa mazito kama cancer,cronic kisukari and the like, hii kwa wazungu ndio magonjwa yao na wao aged people wa 50 years na kuendelea ndio wengi. Hivyo measures za kufungiana ulaya kwa zinafaa lakini kwetu huo ni upuuzi.

Leo anatokea kichaa mwanasiasa anatu compare na marekani kwamba mbona "marekani wamefanya lockdown sis tanzania tunashindwa nini" wakati marekani ina reserve ya kutosha kwa miaka kadhaa mbele...kumepitishwa economic stimulus package ya USD 2 TRILLION kusaidia kujikwamua na hii corona, hiyo hela sisi hatuwezi hata kuitamka maana haina jina tukiweka kwa madafu(TZS). Rwanda ,Uganda na Kenya wameiga upuuzi wanaishia kuwatesa wananchi wao tu. Nasema hivi, Tanzania hakuna lockdown na hatufi kama baadhi ya wapuuzi wanavyodhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya, Uganda, Rwanda zote Ulaya?
 
Namuwazia mama n'tilie, mwendesha bodaboda na mkimbiza tofali. Je watafanyia kazi nyumbani kama wanavyosema wanasiasa na wanaharakati? Ati wafanyie kazi nyumbani.

Itafikia mahala itabidi tuchague moja, tukae ndani tufe na njaa, ama twende nje tukafe na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mahala itakapofika utapata jibu la utoke nje ama utoke ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andiko lingine la kijinga!!

Ujinga zaidi ni pale maandiko yenu mnapoyaambatanisha na manamba namba mkidhani ndo mtaonekana werevu wazee wa data huku mkisahau kuna tofauti kati ya kuandika data na ku-analyse data!!

Ajabu wote hamna hoja ya maana mnayotaja zaidi kusema wanaokufa ni wazee utadhani bibi na babu zenu ni vijana!! Au hata bibi na babu zenu wakifa ni poa tu kwa sababu ni wazee sio?!

Umbumbumbu wenu mwingine ni pale mnaposhindwa kufahamu kwamba issue hapa sio uzee kwa kuangalia miaka bali ni namna ni uimara wa kinga waliyonayo waathirika!!

Sasa wakati wenzenu hawana kinga ya kutosha kutokana na umri, nyie wa Kwa Mtogole ni wangapi wana kinga dhaifu inayotokana na maradhi kamavile HIV, AID, TB, ukosefu wa lishe bora na mengine kama hayo?!

Yaani pamoja na kutujazia minamba kwenye maandiko yenu mnasahau kwamba wakati wengine wanakufa kutokana na kukosa kinga kwa ajili ya uzee wao, Miafrika mtakufa kutokana na kukosa kinga inayotokana na madhira yenu ya kiafrika!!!

Umbumbumbu wenu mwingine ni pale mnapoona hoja ya msingi ya kumtetea Magufuli ni issue ya lockdown wakati kuna mengine kadhaa yanafanyika na serikali ipo kimya!!

Leo hii Humphrey Polepole akifa, pale Kinondoni Makaburini kutajaa mamia kama sio maelefu watakaoenda kumzika kwa sababu serikali bado imeachia mikusanyiko kama hiyo iendelee!!!

Je, kuna makumi na mamia mangapi ya Watanzania wanaendelea kukusanyika kwenye misiba, harusi, misikitini, makanisani na sehemu nyingine kama hizo?Na wanaendelea kukusanyika kwa sababu serikali bado inaendelea ku-entertain hata mikusanyiko isiyo na lazima!

Au hata mnapokusanyika kwenye misiba, maharusi, makanisani, misikitini n.k na kwenyewe ni chanzo cha milo ya watu, na kwamba serikali ikipiga marufuku watu watakufa njaa?!!

Halafu watu aina yenu mlivyo wanafiki, Magu maji yakimfika shingoni wakati mambo yameharibika zaidi mtarudi tena hapa na kumpongeza huku mazuzu wengine wakisema hapo kabla alishauriwa vibaya!!
Amin Amin nakwambia, save jina la huyu mtoa mada kichwani kwako.. kesho JPM akiamka mwanawe imempata Corona akatoa agizo la Lockdown huyu huyu na namba hizi hizi atakuja na Uzi mwingine kumpongeza kuwa amechukua uamuzi sahihi wakati sahihi kutetea afya ya wanyonge. Trust me atakuja na kusema Jana ilikuwa bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom