Utanielewa tuu mkuu,hapo na maanisha hili jambo siyo lakuambiwa nakuanza kusherehekea hapa ndipo ilitakiwa watanzania tuhoji,kwanini,ninani,mkataba uko wapi,nani walihusika nakuupisha huu mkataba mbovu,je hili jambo nila leo halja wahi zungumziwa, nakama lili zungumziwa matokeo yake yako wapi,nakama yapo kwanini wali kaa kmya,je kpibdi hicho wana jadili bungeni Raisi wetu alikuwapo bungeni,je alichukua uamzgani hapo bungeni?hyo ndo ilikuwa maana Yangu mkuu maana wa Tanzania tumekuwa nakasumba yakushabikia jambo bila kuhoji.