simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,695
- 9,580
Kwa hili la unafiki usitukane watanzania. Usiende mbali ,show me mbunge wa CCM and I will show you a hypocrite.
Huyu rais alikuwa bungeni toka 1995 alikuwa ni mmoja wa wabunge wa ccm aliyepitisha hizi sheria aliyajua yote aya ila aliacha tuibiwe huyu rais alikuwa mtu ambaye naye aliwabeza wapinzani kuhusu muhongo alikuwa bungeni muhongo akilidanganya bunge alikuwa kwenye serikali zote zilizopita kama kiongozi lakini akuna ata siku moja alipinga ilo jambo leo anaona eti tunaibiwa huyu mtu ni mnafiki sijawai kuona katika dunia hii huyu magufuli alitupiga vijembe kuhusu muhongo leo anatuambia muhongo ni mbaya hapana huyu ni mnafiki kabisa akuna kitu hapa tumeigiziwa tu
povu mange kafikaje hapaUmetoka instagram huko kwa chizi wenu mange ndio unatulea povu lako humu!we unajua nini kuhusu madini na usafirishaji wake?! Kuna mkataba wowote unaujua kuhusu usafirishaji?!
Wewe na Magufuli nani anajua zaidi?!hivi unaujua uzembe wa Muhongo katika hili kweli au unapovuka tu!?kama hujui ni heri tu ukakaa kimya!!
Kwahiyo magufuli asikemee chochote kile kibaya kinachotokea kwasababu tu itaonekana makosa yalifanyika nyuma kwa hiyo viongozi wasasa hawahusiki basi wasiwajibishwe?!bogus kabisa,mnyonge mnyongeeni haki yake mpeni,Muhongo alifanya uzembe uliotukuka...
Ahsante Magufuli