Watanzania acheni unafiki

Watanzania acheni unafiki

Wenye mapovu yao!!
8e8e62cc2a0fb75f63e9b2329bf1af5c.jpg
 
Huyu rais alikuwa bungeni toka 1995 alikuwa ni mmoja wa wabunge wa ccm aliyepitisha hizi sheria aliyajua yote aya ila aliacha tuibiwe huyu rais alikuwa mtu ambaye naye aliwabeza wapinzani kuhusu muhongo alikuwa bungeni muhongo akilidanganya bunge alikuwa kwenye serikali zote zilizopita kama kiongozi lakini akuna ata siku moja alipinga ilo jambo leo anaona eti tunaibiwa huyu mtu ni mnafiki sijawai kuona katika dunia hii huyu magufuli alitupiga vijembe kuhusu muhongo leo anatuambia muhongo ni mbaya hapana huyu ni mnafiki kabisa akuna kitu hapa tumeigiziwa tu
mkuu legeza ubongo uelewe vitu vidogo..tatzo sio mkataba wa kusafirisha mchanga tatzo kuna uhuni unafanyika akat mchanga unasafirishwa
watendaji wanaeka mashine zinazoshndwa kudetect gold na madin mengne
kama kwenye ule mchanga kusingekua na magumash basi wangeendelea kuusafirisha tu kama kawaida
sio kila kitu tunampinga rais,,kwa hili wote tuwe nyuma ya rais wetu
 
Mleta uzi minisha sema humu mi tz niminafiki kunya haina lolote inaona leo tuu ata jana isha sahau kesho ndo kabisaa haijui,butua twende.
 
Sawa sisi tuache unafiki wewe acha tabia za kike au tutakurudisha kwenu burundi
 
Kwan kuna mkataba gan umeongelewa apo kwenye ripot??
The issue is watendaji wa serikali ndo wamesababisha upotevu wa pesa kwa kutokuripot wizi uliokuwa unaendelea kwa maslahi binafsi ndo maana mkuu kaamuru wachukuliwe hatua na haina uhusiano wowote na mkataba hadi hatua hii may be baadae watafuatilia na issue ya mikataba!!!
Acha kukurupuka kama Zitto!
Kwahiyo mnataka kutuambia huo Mchanga umeanza kupelekwa nje kipindi cha Mhongo kuwa waziri?
 
Mkuu wewe umemuona muhongo ndiyo mwenye makosa nikuulize muhongo alishakuwa rais wa nchi hii au toka muhongo awe waziri wa nishati ndiyo mchanga ulianza kusafirishwa kama majibu yako ni hapana basi kikwete ana makosa mkapa ana makosa kwann na hao wasikamatwe
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana!!Aidha ni kwamba hujui sakata hili kwa kina au umemezeshwa matango pori!!

Hebu jaribu hata kugoogle basi uone kiini cha tatizo hili ni nini na Muhongo amekosea wapi!!usipinge vitu ikiwa hujui hata sababu!
 
Umetoka instagram huko kwa chizi wenu mange ndio unatulea povu lako humu!we unajua nini kuhusu madini na usafirishaji wake?! Kuna mkataba wowote unaujua kuhusu usafirishaji?!

Wewe na Magufuli nani anajua zaidi?!hivi unaujua uzembe wa Muhongo katika hili kweli au unapovuka tu!?kama hujui ni heri tu ukakaa kimya!!

Kwahiyo magufuli asikemee chochote kile kibaya kinachotokea kwasababu tu itaonekana makosa yalifanyika nyuma kwa hiyo viongozi wasasa hawahusiki basi wasiwajibishwe?!bogus kabisa,mnyonge mnyongeeni haki yake mpeni,Muhongo alifanya uzembe uliotukuka...

Ahsante Magufuli
Umenifurahisha jinsi ulivyomaliza.Kwa kweli Asante Magufuli.
 
mkuu legeza ubongo uelewe vitu vidogo..tatzo sio mkataba wa kusafirisha mchanga tatzo kuna uhuni unafanyika akat mchanga unasafirishwa
watendaji wanaeka mashine zinazoshndwa kudetect gold na madin mengne
kama kwenye ule mchanga kusingekua na magumash basi wangeendelea kuusafirisha tu kama kawaida
sio kila kitu tunampinga rais,,kwa hili wote tuwe nyuma ya rais wetu
Yaani huyo ametoka instagram huko kwa Mange akabeba kama yalivyo akatuletea humu ndani!hata hajui sababu hasa ya tatizo ni nini hajui
 
Kwahiyo mnataka kutuambia huo Mchanga umeanza kupelekwa nje kipindi cha Mhongo kuwa waziri?
Hivi unajua sera za Magufuli na mikakati yake ni tofauti na JK?!Kwahiyo kilichomshinda JK basi JPM akiache na yeye kisa tu Kikwete kilimshinda?!

Munakera sana na umbumbumbu wenu,hebu nendeni mukasome huko ata google jamani!!aibu aibu !!Elimu,Elimu
 
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana!!Aidha ni kwamba hujui sakata hili kwa kina au umemezeshwa matango pori!!

Hebu jaribu hata kugoogle basi uone kiini cha tatizo hili ni nini na Muhongo amekosea wapi!!usipinge vitu ikiwa hujui hata sababu!
Wako ndiyo mdogo kabisa
 
Huyu rais alikuwa bungeni toka 1995 alikuwa ni mmoja wa wabunge wa ccm aliyepitisha hizi sheria aliyajua yote aya ila aliacha tuibiwe huyu rais alikuwa mtu ambaye naye aliwabeza wapinzani kuhusu muhongo alikuwa bungeni muhongo akilidanganya bunge alikuwa kwenye serikali zote zilizopita kama kiongozi lakini akuna ata siku moja alipinga ilo jambo leo anaona eti tunaibiwa huyu mtu ni mnafiki sijawai kuona katika dunia hii huyu magufuli alitupiga vijembe kuhusu muhongo leo anatuambia muhongo ni mbaya hapana huyu ni mnafiki kabisa akuna kitu hapa tumeigiziwa tu
Weka vituo mkuu, nimeshindwa kusoma maana pumzi inakata.
 
mkuu legeza ubongo uelewe vitu vidogo..tatzo sio mkataba wa kusafirisha mchanga tatzo kuna uhuni unafanyika akat mchanga unasafirishwa
watendaji wanaeka mashine zinazoshndwa kudetect gold na madin mengne
kama kwenye ule mchanga kusingekua na magumash basi wangeendelea kuusafirisha tu kama kawaida
sio kila kitu tunampinga rais,,kwa hili wote tuwe nyuma ya rais wetu
Mm akuna kitu atafanya huyu kiumbe niache kupinga kwasababu akuna linalo nifuraisha yote ovyo kabisa
 
Huyu rais alikuwa bungeni toka 1995 alikuwa ni mmoja wa wabunge wa ccm aliyepitisha hizi sheria aliyajua yote aya ila aliacha tuibiwe huyu rais alikuwa mtu ambaye naye aliwabeza wapinzani kuhusu muhongo alikuwa bungeni muhongo akilidanganya bunge alikuwa kwenye serikali zote zilizopita kama kiongozi lakini akuna ata siku moja alipinga ilo jambo leo anaona eti tunaibiwa huyu mtu ni mnafiki sijawai kuona katika dunia hii huyu magufuli alitupiga vijembe kuhusu muhongo leo anatuambia muhongo ni mbaya hapana huyu ni mnafiki kabisa akuna kitu hapa tumeigiziwa tu
Nimekukubali Mkuu! Labda angeondoka CCM, halafu aongee haya tungemuelewa.
 
Mkuu ulikuwa unataka nini?.. Kwa hio kama zamani walilifumbia macho hili swala then,na utawala huu wafumbie macho????
 
Back
Top Bottom