Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Huyu rais alikuwa bungeni toka 1995 alikuwa ni mmoja wa wabunge wa ccm aliyepitisha hizi sheria aliyajua yote aya ila aliacha tuibiwe huyu rais alikuwa mtu ambaye naye aliwabeza wapinzani kuhusu muhongo alikuwa bungeni muhongo akilidanganya bunge alikuwa kwenye serikali zote zilizopita kama kiongozi lakini akuna ata siku moja alipinga ilo jambo leo anaona eti tunaibiwa huyu mtu ni mnafiki sijawai kuona katika dunia hii huyu magufuli alitupiga vijembe kuhusu muhongo leo anatuambia muhongo ni mbaya hapana huyu ni mnafiki kabisa akuna kitu hapa tumeigiziwa tu