Watano kortini kwa kumdhalilisha Rais Magufuli

Sheria ya uhalifu mitandaoni ipo na inafanya kazi ,lazima tuwe na nidhamu katika mitandao .Nafikiri ikifika 2018 watu watakuwa na akili timamu kila kona.
 
Wengi wanaoshikwa kwenye whatsapp groups ni kwasababu namba zao zipo exposed, kama unajijua huwezi kuvumilia kufungwa mdomo zipo tricks za ku hide phone number kwenye whatsapp groups unatumia email kufanya registration, ningewashauri mpite njia hiyo.
 
Hakyamungu duuh, lakini kwann ikifika 2018 tutakuwa na akili timamu?
 
Yote haya ni ujinga na ushamba Wa kutojua matumizi ya smartphone.
Baada ya kutumia magroup hayo kufanya mambo ya maana tunatumia matusi
 
Mimi siamini kwa hesabu hiyo. ..kwangu 1+1=1 I believe in miracles. ..huwa nina jipa positive thinking na sitaki kuendeshwa na hasira. ..maji yakichemka baadae yatapoa tu! Sio uwoga ni hekima ya MWENYE ENZI MUNGU. ..HERI YULE ANAYE WEZA KUTAWALA MOYO WAKE. .

Sema watakupotezea muda, lkn kushinda siyo rahisi, lbd uhuru wa mahakama uingiliwe
 
Sheria ya uhalifu mitandaoni ipo na inafanya kazi ,lazima tuwe na nidhamu katika mitandao .Nafikiri ikifika 2018 watu watakuwa na akili timamu kila kona.

Sheria kandamizi itakuwa challenged one day
 
Wengi wanaoshikwa kwenye whatsapp groups ni kwasababu namba zao zipo exposed, kama unajijua huwezi kuvumilia kufungwa mdomo zipo tricks za ku hide phone number kwenye whatsapp groups unatumia email kufanya registration, ningewashauri mpite njia hiyo.
Unafanyaje
 
Back
Top Bottom