Watani zangu wachaga, Je! hii ni kweli?

Watani zangu wachaga, Je! hii ni kweli?

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,031
Reaction score
40,495
...SALAAAM......
Wakuu kuna rafiki yangu nafanya nae kazi hapa ofisini...mkewe kajifungua mtoto wa kiume
Sasa anasema kwa mila za kwao ni mkosi kwenda kumuangalia mtoto
bila ya hela, eti kwa kuwa utamtia mtoto mikosi
anasema at least hata elfu tano tu umshikishe mtoto mkononi.....
JE WATANI ZANGU WACHAGA NI KWELI HIII MILA IPO...AU FIX TU....???
 
Ni ukweli wenye FIX ndani yake....
 
Hiyo cjawahi sikia ni mchaga wa wapi huyo,mtoto mchanga anamfanya atm ngastuka
 
wachaga tumegawanyika mara nne na kila sehemu na mila zao,kwa upande wetu hakunaga kitu kama hicho ndugu.
 
Hahaaa
Eti Asprin wewe unajua hii?

Hahahahah mi ndo nimeisikia leo. Huyu mpare anataka kutuambia kabla ya fedha kuanza kutumika hii mila haikuwepo?

Afu staki uchokozi we mtoto.
 
Last edited by a moderator:
labda ana mila zake mwenyew huyo lakni sio powa kwenda kumchek mtot then huna ata pip mkonon
 
wachaga tumegawanyika mara nne na kila sehemu na mila zao,kwa upande wetu hakunaga kitu kama hicho ndugu.

Hebu ntajie hizo sehemu kuu nne za wachagga na tofauti ya mila zao. Kwa uelewa wangu huwa wanatofautiana lugha tu lakini mila ni zilezile na mbege ni ileile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom