Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,127
GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa Marehemu Mzee Mkono uzuieni mpaka mpewe hiyo Hela sawa?

Na Wazee wa Kizanaki wa Kuwakaba kuanzia leo hii hadi hiyo Kesho (waliokuwa katika Kamati ya Mazishi) ili wawapeni hiyo Hela yenu Watani ni Mzee Wassira, Mzee Butiku na Mzee Mmoja Mstaafu wa System (Eagle Wing House St. Peters) amevalia Miwani myeusi na Shati la Kitenge (Namhifadhi Jina) na mkienda Kwao Waambieni GENTAMYCINE wa JamiiForums nimewatumeni mkachukue hiyo Pesa yenu ya Watani na Utani sawa?

Kazi Kwenu Watani zangu Wote.
 
kwel wazanaki ni shida na ndio maaana mliotesha nyama , you need to grow up home boy
 
Tatizo watani ni wakutokea majirani, na majirani wenyewe ni Masaki oyster bay na Mikocheni na Upanga.

Mtani anakuja msibani na Land cruiser V8 VXR, hiyo itakuwa ngumu, hayo ni mambo ya uswahilini kwenye njaa Kali watu wanakwenda msibani kula ili kuokowa gharama Nyumbani.
 
GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa Marehemu Mzee Mkono uzuieni mpaka mpewe hiyo Hela sawa?

Na Wazee wa Kizanaki wa Kuwakaba kuanzia leo hii hadi hiyo Kesho (waliokuwa katika Kamati ya Mazishi) ili wawapeni hiyo Hela yenu Watani ni Mzee Wassira, Mzee Butiku na Mzee Mmoja Mstaafu wa System (Eagle Wing House St. Peters) amevalia Miwani myeusi na Shati la Kitenge (Namhifadhi Jina) na mkienda Kwao Waambieni GENTAMYCINE wa JamiiForums nimewatumeni mkachukue hiyo Pesa yenu ya Watani na Utani sawa?

Kazi Kwenu Watani zangu Wote.

Wacha weee😀😀😀😀
 
Utani wa kipuuzi kama huo mtu asije akajaribu kwenye msiba unao nihusu kwa ukarubu na weza kukupiga ngumi ukafa msibani na wewe.
 
Mwanangu nilushie nauli kesho niende
 
Utani wa kipuuzi kama huo mtu asije akajaribu kwenye msiba unao nihusu kwa ukarubu na weza kukupiga ngumi ukafa msibani na wewe.
We ni born town hujui ladha ya utani au hujui maana ya utamaduni na desturi. Haya mambo yanapunguza msongo wa mawazo kwa wafiwa na huondoa magomvi ya kikabila. Kesho tumo kwa wazanaki kuwavua makofia yao.
 
Walaaa mimi ni bush men mzee ila sipendi mila za kifala kama hizo.
 
Hivi Wasukuma hawana Mtani?

Mbona kwenye Msiba wa Jiwe hawakujitokeza?
Tatizo lipo kwa wafiwa, mpaka leo hawataki kukubali kama jiwe limeshazikwa.

Wafiwa wenyewe kina Musiba unaanza vipi kuwatania? tena watani zao ni Wazaramo na Wakwere.
 
Back
Top Bottom