Watangazaji wetu na neno 'Amazing'

Watangazaji wetu na neno 'Amazing'

Kuna Dada Yupo Live Friday Night Live alikuwa anaumuuliza swali Wastara anamwambie "inakuwaje wastara ulimjibu shabiki wako kwa lugha ya matusi Amazing"
 
acha lugha yetu ikue, kiswahili kina mchanganyiko flan amazing wa lugha mbalimbali
Ha haa
Baby leo nimeenda toileth nikanya mavi fulani amaizing....teh teh...!!!!nlicheka sana siku nlipoona hili neno
 
Yan neno hili 'amazing' kwel linatumika vibaya na watangazaj flan hv amazing kwnye vpind vyao flan hv amazing hawataki kutumia kiswahil cha amazing kwan itakuwa ni amazing...!!Ha ha ha amazing bhana ni neno amazing
 
Hiii thread imenchekeshaa...mmenikumbusha comedy clip ya
idrisa sultan...he was crying make wake anaumwa kalazwa hospital flani amazing....
 
i hate that word
Ahgrrrr ptuuuuuuyuyy


na wewe hiyo redio unadikiliza kipindi gani????
machokoraa hao hata hawaelimishi jamiii hata theluthi moja
ni maneno mabaya tu nakujifanya wana impower music and musician but is nah that way ...........

Aseee mama yeyo natema dongo hapo juu, mi hapana ona Masai "nadikiliza'" ipindi. Yani mefanya usi yote naona AMAZING...!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom