Watangazaji wa Star Tv mnaboa

Watangazaji wa Star Tv mnaboa

1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .

2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )

3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.

Sina Lengo baya,

Ni mtazamaji wenu take my Comments .
Kama inaboa hamia ingine wewew sasa Ndoo unaboa kuandika pumba, TV ipi wanavaa vizuri???? Kwani wapo kwenye fashion show pale? Angalia contents and context sio cover.. Ni maoni tu
 
Watangazaji wa chanel za bongo watazame bbc swahili. Yule demu zuhura nani sijui. Huwa anauliza maswali bila uoga. Cheki interview aliofanya na lowassa au museveni juzi.
Sasa anavaa vizuri?
 
Azam nao bado sana kwenye substance ya materials, wana FACILITY ila delivery na materials wanazokusanya kwa ajili ya kutujuza ni sun zero! Mfano yule mzanzibar hajui kichambua habari za magazetini.
Back to Star Tv: waache pia kuarika watu wenye matusi na mihemko.
Sure
 
Unawaonea hao jamaaa TV gani hapo bongo watangazaji wako juu sana? Star TV wako vizuri sana
Ni kweli
mi wananichoshaga tu kwenye habari za kimataifa tu yaan,utasikia mara ooh waasi wa houth huko mshariki mwa ukraine..wakati waasi wa houthi wanapatikana yemen..mara siku nyingne badala ya kutaja umoja wa ulaya wanasema umoja wa mataifa wakati habari kuhusu EU...afu utakuta mtu anarudia mara nyingi tu sa sielewi hizi habari watoaga wapi yani..mara waasi wa houth wa syria..sasa cjui houth wenyew wanajua ni kitu gani eti ya kwe international news wanazinguaga tu wa TZ weng hawana mpango nazo
 
kwenye suala la mavazi kwa upande wangu ninakiri Hawa jamaa wako vizuri. tuondoe chuki za vyama
 
Back
Top Bottom