Ni hatari MkuuIla jamani sekta ya habari Tanzania ni janga kubwa sana kwa taifa letu, imefikia wakati mpaka wana habari wengi wanaendeshwa na Matukio! Kuna umuhimu mkubwa sana wa kukabiliana na hili mapema sasa otherwise tutajikuta pabaya sana hasa pale wana habari wanapokuwa wana mihemko inayovunja miiko ya maadili ya habari!!
Hilo la appearance kwa watangazaji wa Star TV kinachowabana na cheap labour, Mishahara ya Sahara media ni mibovu mno, Si ajabu wengi pale wanakopwa!!
Ni sawa na kutolewa ICU na kupelekwa morchuwaryHamia TBC na UHURU FM
Azam nao bado sana kwenye substance ya materials, wana FACILITY ila delivery na materials wanazokusanya kwa ajili ya kutujuza ni sun zero! Mfano yule mzanzibar hajui kichambua habari za magazetini.1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .
2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )
3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.
Sina Lengo baya,
Ni mtazamaji wenu take my Comments .
1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .
2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )
3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.
Sina Lengo baya,
Ni mtazamaji wenu take my Comments .
Hii channel imedorora sana baada ya kuibeba CCM kwenye uchaguzi mkuu.Ilijishushia hadhi yake channel hiyo, kuanzia uchaguzi mkuu mwaka jana, hadi leo imeathiri bongo za watu.
Kosa kubwa ni kukibeba bila chenga chama tawala. Wataisoma aisee. Kabla, binafsi niliipenda sana channel hiyo, hasa kwa ukubwa wa coverage yake.
Ahsante!
mi wananichoshaga tu kwenye habari za kimataifa tu yaan,utasikia mara ooh waasi wa houth huko mshariki mwa ukraine..wakati waasi wa houthi wanapatikana yemen..mara siku nyingne badala ya kutaja umoja wa ulaya wanasema umoja wa mataifa wakati habari kuhusu EU...afu utakuta mtu anarudia mara nyingi tu sa sielewi hizi habari watoaga wapi yani..mara waasi wa houth wa syria..sasa cjui houth wenyew wanajua ni kitu gani eti ya kwe international news wanazinguaga tu wa TZ weng hawana mpango nazo1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .
2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )
3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.
Sina Lengo baya,
Ni mtazamaji wenu take my Comments .
Kabla hujawanyooshea kidole hao startv jiulize huko kazini kwako unatimiza majukumu yako sawasawa au na nawewe kimeo.
Nachojua watz tulio weng tuna tatizo kubwa la kutopenda kazi zetu unafanya tu bora liende na ni mahodari wa kudai haki huku tukijua hatutimiz majukum swsw. Na hii ni hulka yetu (ukatae ukubali) na ipo kotekote si sekta binafsi wala serikali,sema kinachowaokoa sekta binafsi kuna ufatiliaji zaid.
Hapa nina hasira sn kuna taasis nawatafuta kwa sim toka jana sim zao zinaita wala hazipokelewi nalazimika kwenda fizikali na ni mbali!!![/QUOTe
ndo mana tunakumbushana mkuu maana sometym mtu unakua unaboa watu au uko wrong ila hujijui so inakua ngumu kujirekebisha ila watu wakikusema kama hivi ndo unagundua ni wapi upo ovyo
Unawaonea hao jamaaa TV gani hapo bongo watangazaji wako juu sana? Star TV wako vizuri sana1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .
2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )
3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.
Sina Lengo baya,
Ni mtazamaji wenu take my Comments .
Lakini mochuari si ndiyo matatizo yote yanakuwa yamekwisha? Unakuwa huoni usumbufu wala kero zozote. Wewe kimyaaaa!Ni sawa na kutolewa ICU na kupelekwa morchuwary