Watangazaji wa Star Tv mnaboa

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,051
3,255
1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .

2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )

3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.

Sina Lengo baya,

Ni mtazamaji wenu take my Comments .
 
Toka lin kina ngosha wakajua kuwa smart mkuu iga mfano kwa mkuu wa nchi
 
1. Kuvaa hamjui; Sijui ni asili ya eneo, Kituo chenu kilipo au ni Lack of Exposure . Hamna mfano wa mtangazaji mwnye presentation nzuri .

2. Mnahoji unlogical questions kwenye mmahojiano Sensintive. ( sijui ni kukosa utaalamu wa utangazaji ...huenda mnaajiriwa kindugu . )

3. Kwanini mnatangaza kama mnausingizi au HangOver, Ivi hamuoni Competition ilivyo kubwa, learn from Azam.

Sina Lengo baya,

Ni mtazamaji wenu take my Comments .
Sikiliza TV ya kichaggggaaaa ITV
 
Hicho kituo kinajali sana fitna na kuwapa Air time ya bure wanafiki, zaidi ya hapo hakina jipya, wale watangazaji wanaojitambua wame ondoka kitambo, wamegundua pale si mahali salama, zaidi ya BBC swahili sijaona cha kuangalia kwenye hiyo star TV.
 
Watangazaji wa chanel za bongo watazame bbc swahili. Yule demu zuhura nani sijui. Huwa anauliza maswali bila uoga. Cheki interview aliofanya na lowassa au museveni juzi.
 
1. Graphics mbovu
2. Sound effects poor
3. Kuna vipindi au channel hazina tija, huko continental ni majanga aisee.
 
Watangazaji wa chanel za bongo watazame bbc swahili. Yule demu zuhura nani sijui. Huwa anauliza maswali bila uoga. Cheki interview aliofanya na lowassa au museveni juzi.
Yule dada nimemkubali ile interview yake na Museven.
 
Yaani utazani tulikua wote. Hawa jamaa suti zao ni majanga na kikazi Hamna talents kabisaaaaaaa.
Hata hivyo nawaheshimu maana kuna watazamaji huwa wanaangalia futuhi, hapo ndo ninapojua kwamba binadamu tunatoutiana saaaaana.
 
Huyu Jamaa ana chuki Za kikabila, Admin naomba mwondoe kwa siku7 ,Eti tv ya kichagaa ,wewe endelea tu,Hapa mfano umetolewa wa Azam wewe unaleta chuki kwenye taifa mama la Tanzania
Ana chuki mpaka inamuondolea ufahamu wake.
 
Ilijishushia hadhi yake channel hiyo, kuanzia uchaguzi mkuu mwaka jana, hadi leo imeathiri bongo za watu.

Kosa kubwa ni kukibeba bila chenga chama tawala. Wataisoma aisee. Kabla, binafsi niliipenda sana channel hiyo, hasa kwa ukubwa wa coverage yake.

Ahsante!
 
Back
Top Bottom