ehee na inchi za jirani imo? mimi LEONARD MAMBO MBOTELA hasssssssssssssssa kwenye kile kipindi cha miaaaka kibao cha JE? HUU NI UUNGWANAAAAAAAAAAAA. KBC<br />
<br />
Babra Clouds FM
Michael Barutikwa bi hindu ndio penyewe..
na yule mwenzake na zembwela ni nani vile..
<br />Jacob Tesha, Sarah Dimba, Ahmed Jongo, Kipozi, Tido Mhando, J. Nyaisanga, Taji Liundi.<br />
Kwa hawa tulionao sasa ................wanajitahidi ila nawasikiliza tu.
Redio ya wafuKIBONDE , B dozen ... B 12! , Gea habid,
mkuu yule mtoto kayanda bado sana,sipendi kumsikilza nahisi ni mtu anayefikiri yuko juu,kutokana na point zake na matamshi yake sana,hajui kazi ya utangazaji
Kuna kina Abdalah Majura, enzi hizo akiwa RTD, then BBC,
Kuna salum kikeke...BBC
Kuna Grace Kingalame...TBC1
Amina mollel-TBC1
Othman Miraji...DW,
Thelma Mwadzaya-DW
Oumilkheir Hamidou-DW
Huyu kwenye bluu si mchezo nampenda sana aisee
IS IT SARA DIMBA ?OR DUMBA OR NDUMBA?