Watangazaji Azam hawajui kiingereza?

Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi.

Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani"

Ni aibu kwa kweli. Jipigeni msasa kabla mambo hayajawa mabaya sana
Jane pole Kwa msiba.
 
Tuambie Mtaalam wa Lugha iliyokuja na Meli....!

Mtangazaji alitakiwa kusemaje!?
 
Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi.

Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani"

Ni aibu kwa kweli. Jipigeni msasa kabla mambo hayajawa mabaya sana
Hilo neno thanks mbona linatamkwa na hata asiyejua hiyo English
 
Kumbe kujua Kiingereza ndio Elimu!
China hawajui Kiingereza wametoboa.
Mrusi hajui Kingereza anaRun dunia.
Nenda India, Malaysia nk.
Huu ujinga upo Afrika tu kwa wajinga wachache tambua Kiingereza ni Utumwa, Kataa kuwa mtumwa, KUZA KISWAHILI, KOMAA NA KISWAHILI IWE BIDHAA YA KUUZWA DUNIA NZIMA Watakuja kujifunza tuu.
Nyie mnaopenda showoff endeleeni na Viinglish vyenu na utumwa wenu vichwani.
Mi naona utumwa wa kiingereza kidogo unaafadhali kuliko huu utumwa wa dini. Utumwa wa dini ndio mbaya sana tena unasababisha umasikini mkubwa sana
 
Kumbe kujua Kiingereza ndio Elimu!
China hawajui Kiingereza wametoboa.
Mrusi hajui Kingereza anaRun dunia.
Nenda India, Malaysia nk.
Huu ujinga upo Afrika tu kwa wajinga wachache tambua Kiingereza ni Utumwa, Kataa kuwa mtumwa, KUZA KISWAHILI, KOMAA NA KISWAHILI IWE BIDHAA YA KUUZWA DUNIA NZIMA Watakuja kujifunza tuu.
Nyie mnaopenda showoff endeleeni na Viinglish vyenu na utumwa wenu vichwani.
Mwongezee na watu wengi kutoka nchi za Amerika ya Kusini kingereza sio kipau mbele kwao
 
Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi.

Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani"

Ni aibu kwa kweli. Jipigeni msasa kabla mambo hayajawa mabaya sana
Mkuu Jane Lowassa, tuanzie kwa upande wako kwanza,,je wewe unafahamu kuongea hiko kiingereza kwa ufasaha?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kujua Kiingereza ndio Elimu!
China hawajui Kiingereza wametoboa.
Mrusi hajui Kingereza anaRun dunia.
Nenda India, Malaysia nk.
Huu ujinga upo Afrika tu kwa wajinga wachache tambua Kiingereza ni Utumwa, Kataa kuwa mtumwa, KUZA KISWAHILI, KOMAA NA KISWAHILI IWE BIDHAA YA KUUZWA DUNIA NZIMA Watakuja kujifunza tuu.
Nyie mnaopenda showoff endeleeni na Viinglish vyenu na utumwa wenu vichwani.
China wanatumia lugha yao. Russia wanatumia lugha yao kwenye masomo kwahio si ajabu wasipojua Kiingereza. Ila mtu unaetumia Kiingereza kama lugha ya kufundushia sekondari mpaka chuo kikuu usipojua Kiingereza kuna tatizo mahali.
 
Asilimia 75 ya Watangazaji wa mpira wa miguu na wachambuzi hawajui kabisa kiingereza.
1. Kitenge
2. Eddo Kumwembe
4. Baraka Mpenja
5. Nyembela
What sources did you utilize to identify those on your list who didn't know English?

Because it's not true. They all speak fluent English. And one of them speaks some French, albeit not much.

Ova
 
Pale "Ilm akhera" ndiyo inapewa kipaumbele.
Kama sio wa huo upande,basi "blah blah" ndizo zitakubeba.

Uliona wapi taasisi inayojinasibu ni kubwa kutokuwa na "salary scale" kulingana na elimu!!??
 
Ni wale wanaohoji makocha baada ya mechi.

Kuna mmoja alikuwa anamhoji kocha wa Simba wa makipa baada ya mechi na JKT. Yaani aibu niliona mimi aisee. Full kujichanganya mfano "what did your players gave you". Mwishoni akashindwa kusema thank you akasema "shukrani"

Ni aibu kwa kweli. Jipigeni msasa kabla mambo hayajawa mabaya sana
Kama ujumbe wa jiwe uliokwenda Zimbabwe wote walikuwa hawajui kiingereza si ajabu kwa hawa.
 
Asilimia 75 ya Watangazaji wa mpira wa miguu na wachambuzi hawajui kabisa kiingereza.
1. Kitenge
2. Eddo Kumwembe
4. Baraka Mpenja
5. Nyembela
Nimecheka sana hii list 1-3, sasa Baraka Mpenja hata kwa kumwangalia tu body language yake tu unaona kabsa English haiwezi lazima itakua aibu tu ya mwaka akiongea anaweza jikuta analia peke yake otherwise interview itageuka atajikuta anahojiwa yeye badala ya yeye kuhoji,...Kitenge janja janja sana mtu ya maneno mengiiii akiongea English lazima atoe macho kama kakabwa...at least Edo Kumwembe hawezi dhalilika kama hao wengine wawili. Nyembera yuko vizuri
 
Hua namsikia Gift Macha anapambana pambana kidogo sio mbaya ilimradi anaelewa anachohoji na anachojibiwa.
 
Kumbe kujua Kiingereza ndio Elimu!
China hawajui Kiingereza wametoboa.
Mrusi hajui Kingereza anaRun dunia.
Nenda India, Malaysia nk.
Huu ujinga upo Afrika tu kwa wajinga wachache tambua Kiingereza ni Utumwa, Kataa kuwa mtumwa, KUZA KISWAHILI, KOMAA NA KISWAHILI IWE BIDHAA YA KUUZWA DUNIA NZIMA Watakuja kujifunza tuu.
Nyie mnaopenda showoff endeleeni na Viinglish vyenu na utumwa wenu vichwani.
Niambie ni kipi ambacho Mswahili anakijua?
 
Kumbe kujua Kiingereza ndio Elimu!
China hawajui Kiingereza wametoboa.
Mrusi hajui Kingereza anaRun dunia.
Nenda India, Malaysia nk.
Huu ujinga upo Afrika tu kwa wajinga wachache tambua Kiingereza ni Utumwa, Kataa kuwa mtumwa, KUZA KISWAHILI, KOMAA NA KISWAHILI IWE BIDHAA YA KUUZWA DUNIA NZIMA Watakuja kujifunza tuu.
Nyie mnaopenda showoff endeleeni na Viinglish vyenu na utumwa wenu vichwani.
Ndio maana tupo dunia ya tatu (masikini wa kutupwa) kwa kuendekeza lugha na vitu ambavyo sio vya kwetu. Ni upuuzi sana. Yani unaona aibu kwa lugha ambayo sio yako wala sio utamaduni wako badala uone aibu na kuwa na hamasa katika lugha yako Kiswahili! Watanzania tujivunie vya kwetu tutoke kwenye dimbwi la upumbavu. Huyo mzungu wa kiingereza chake kakusaidia nini zaidi ya miaka 60 kama sio kukuibia na kukukandamiza kiakili na kiuchumi ili usijielewe. Amka Afrika na Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom