Tanzania hatuna wachambuzi

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,099
12,477
Habari za jioni wakuu,
Ikiwa umepita mda mchache toka kuanza kwa kikao kikubwa cha soka barani Africa ila kinachoendelea mitandaoni kinasikitisha sana.

Katika tasnia zilizovamiwa Tanzania ukiitoa ile ya Bongo movie basi inafuata tasnia ya michezo tena imejaa vilaza kweli hakuna anayesimamia ukweli wao wanaangalia interest zao na upepo unavuma kuelekea wapi kwasababu zifuatazo:–

Siku za karibuni CAF ilitoa orodha ya vilabu vitakavyoshiriki katika mashindano hayo na hatua zitakazo anzia huku AZAM FC ikiibua maswali mengi kwa hatua itakayoanzia,
kwani hawaanzii hatua ya awali kama team nyingine za Tanzania ila hakuna mchambuzi aliyefuatilia au kufafanua kwa nini wao wenyewe hawajui kama sisi na hakuna anayefuatilia zaidi ya kila mtu kuongea la kwake wao ndio walitakiwa watupe ufafanuzi ila hawajui kitu maajabu haya.

Arusha kuna tukio kubwa linafanyika linalokutanisha wawakilishi wa CAF kutoka sehemu mbali mbali badala ya wachambuzi wetu kutumia fursa hii adhimu kwa interview za watu mashuhuri na kujua undani wa mkutano huo kwa kutupa updates na ufafanuzi wa yanayojiri wao wamekuja na hoja mpya kabisa wakihoji kwa nini yanga hajaalikwa kwenye ghafla hyo kweli mmekosa vya kuzungumza na kuchambua ndio maana karia alisema mrudi shule.

Ukiangalia kuanzia WASAFI FM, CLOUDS FM na E–FM unapata picha tuna wachambuzi wa aina gani wao ni kujadili upuuzi wa simba kuhusu jeneza na mzungu na yanga kumruhusu haji manara kuwa MC ni kweli ni masuala ya mpira na yametokea kwenye vilabu vya mpira ila vinapewa airtime kubwa kuliko main content inayotakiwa wakija kuchambua soka la kimataifa ndo utatamani uzime redio hawana wanachokijua zaidi ya matokeo na takwimu tu.

Hivi ukweli mtu unafikia hatua ya kufanya kazi kampuni kubwa kama clouds fm au AZAM MEDIA halafu lugha gongano yaani haipandi muangalie yule Gift macha pale AZAM juzi wakati akiwahoji makocha baada ya mechi utatamani uzime TV,
sawa hujui basi wanashindwa hata kujiongeza kwa rasi simba maana kazi zao zinawakutanisha watu tofauti tofauti kutoka nchi nyingi wanao ongea lugha mbali mbali si vibaya wachambuzi wetu wajifunze kifaransa na English hilo sio la kuwaambia ni lazima ndo maana baada ya mechi wachambuzi wetu wanakimbia kufanya interview na wageni wanakimbilia kwa wenyeji.

Aibu kubwa hii kuna jamaa anaitwa Patrick nyembera pale AZAM ndo kituko kabisa clouds sitaki hata kuongea maana lwambano na priva baada ya good morning na how are you kinachofuata baada ya hapo ni aibu shafii dauda ndo wale wale.

Wachambuzi wetu wanapaswa wabadilike dunia inaenda kasi sana na technology inabadilika hizi simba na yanga zisiwafanye nyinyi ni kina roy Keane na Thierry Henry kwenye uchambuzi wakati kubadilisha article ya kiingereza tu kwenda kwenye kiswahili wengi wao ni mtihani wanatakiwa wajiongeze kwenye eneo hilo bahasha siziwalemaze akili wakati ni empty kichwani.

NB: Bila kupitisha sheria ngumu hili eneo linaenda kuwa bomu hawa wanasheria wahasibu na afisa ugavi pamoja na walimu warudi kwenye fani zao mpira una wenyewe au warudi shule wakasome.
 
Mtoa post umezinguaa Sana.....pamoja na kuchambua Sana soka hapa jf .......bado tu hujani acknowledge
Hiz ni hujuma
 
Kwani uchambuzi wa mpira huwa unasomewa mpaka muwaponde wana ?....
 
Awa wachambuzi na waandishi, wote wanatoka katika jamiiyetu. Jamii ambayo haipendi kujifunza na kupenda udaku zaidi.
Ata aliyekua CEO wa Yanga ndugu Senzo
ameshangazwa na kusikitishwa na jamii yetu kupenda habari za uzushi na Majungu kuliko mambo yenye tija.
Upo sahihi, hao wachambuzi wanaonyesha aina ya jamii tuliyonayo
 
Habari za jioni wakuu,
Ikiwa umepita mda mchache toka kuanza kwa kikao kikubwa cha soka barani Africa ila kinachoendelea mitandaoni kinasikitisha sana.

Katika tasnia zilizovamiwa Tanzania ukiitoa ile ya Bongo movie basi inafuata tasnia ya michezo tena imejaa vilaza kweli hakuna anayesimamia ukweli wao wanaangalia interest zao na upepo unavuma kuelekea wapi kwasababu zifuatazo:–

Siku za karibuni CAF ilitoa orodha ya vilabu vitakavyoshiriki katika mashindano hayo na hatua zitakazo anzia huku AZAM FC ikiibua maswali mengi kwa hatua itakayoanzia,
kwani hawaanzii hatua ya awali kama team nyingine za Tanzania ila hakuna mchambuzi aliyefuatilia au kufafanua kwa nini wao wenyewe hawajui kama sisi na hakuna anayefuatilia zaidi ya kila mtu kuongea la kwake wao ndio walitakiwa watupe ufafanuzi ila hawajui kitu maajabu haya.

Arusha kuna tukio kubwa linafanyika linalokutanisha wawakilishi wa CAF kutoka sehemu mbali mbali badala ya wachambuzi wetu kutumia fursa hii adhimu kwa interview za watu mashuhuri na kujua undani wa mkutano huo kwa kutupa updates na ufafanuzi wa yanayojiri wao wamekuja na hoja mpya kabisa wakihoji kwa nini yanga hajaalikwa kwenye ghafla hyo kweli mmekosa vya kuzungumza na kuchambua ndio maana karia alisema mrudi shule.

Ukiangalia kuanzia WASAFI FM, CLOUDS FM na E–FM unapata picha tuna wachambuzi wa aina gani wao ni kujadili upuuzi wa simba kuhusu jeneza na mzungu na yanga kumruhusu haji manara kuwa MC ni kweli ni masuala ya mpira na yametokea kwenye vilabu vya mpira ila vinapewa airtime kubwa kuliko main content inayotakiwa wakija kuchambua soka la kimataifa ndo utatamani uzime redio hawana wanachokijua zaidi ya matokeo na takwimu tu.

Hivi ukweli mtu unafikia hatua ya kufanya kazi kampuni kubwa kama clouds fm au AZAM MEDIA halafu lugha gongano yaani haipandi muangalie yule Gift macha pale AZAM juzi wakati akiwahoji makocha baada ya mechi utatamani uzime TV,
sawa hujui basi wanashindwa hata kujiongeza kwa rasi simba maana kazi zao zinawakutanisha watu tofauti tofauti kutoka nchi nyingi wanao ongea lugha mbali mbali si vibaya wachambuzi wetu wajifunze kifaransa na English hilo sio la kuwaambia ni lazima ndo maana baada ya mechi wachambuzi wetu wanakimbia kufanya interview na wageni wanakimbilia kwa wenyeji.

Aibu kubwa hii kuna jamaa anaitwa Patrick nyembera pale AZAM ndo kituko kabisa clouds sitaki hata kuongea maana lwambano na priva baada ya good morning na how are you kinachofuata baada ya hapo ni aibu shafii dauda ndo wale wale.

Wachambuzi wetu wanapaswa wabadilike dunia inaenda kasi sana na technology inabadilika hizi simba na yanga zisiwafanye nyinyi ni kina roy Keane na Thierry Henry kwenye uchambuzi wakati kubadilisha article ya kiingereza tu kwenda kwenye kiswahili wengi wao ni mtihani wanatakiwa wajiongeze kwenye eneo hilo bahasha siziwalemaze akili wakati ni empty kichwani.

NB: Bila kupitisha sheria ngumu hili eneo linaenda kuwa bomu hawa wanasheria wahasibu na afisa ugavi pamoja na walimu warudi kwenye fani zao mpira una wenyewe au warudi shule wakasome.
Hiyo siyo kazi ya wachambuzi labda hujui ilichoandika.

Yani utalajie Mbwiga wa mbwiguke aripoti mkutano wa CAF?

Hiyo ni kazi ya waandishi wa TASWA, huwa mnachanganya mambo msiyoyajuwa.

Cc: Mphamvu
 
Nyie ndio walewale, Taswa ni Chama huru Cha waandishi wa habari za michezo ila wachambuzi baadhiyao ni member wa Taswa.
Kama wewe ni mwandishi au simwandishi wa habari za michezo lakini ni mchambuzi wa michezo na tukio kubwa la mkutano unao husisha soka tena mmojawapo wa wageni ni Rais wa CAF na Rais wa Fiffa na unafanyika Tanzania inakuaje huna taarifa za kinna za kinacho endelea!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom