Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

@Mshana nje ya mada kidogo..

Hivi hicho kibibi ulikifanyaje enzi za ujana wake, mbona kakikuona kila mara kanapandisha maruhani?
nilishasimulia sana hapa.. Ila kwa ufupi ni kwamba wakati huo way back 2012 nadhani wakati huo kikijifanya kinaishi Canada, Nikakiambia acha uongo uko bongo na unaishi nyuma ya ofisi ndogo ya ccm Lumumba na ikaja kuthibitika ni kweli.. Faizafix wa Canada yuko bongo tena kwa kuhifadhiwa kwenye yale maghorofa chakavu
Hapo alitimuliwa yuko mitaa ya kibiti ukipita Jaribu kabla ya kufika Bungu ana PI ya kuingia mataifa ya Schengen.. Alileta ujuaji wa kindezi huko akapigwa PI ya milele na Mchonga akaipigilia msumari. Ana chuki kubwa sana na Mchonga, ukristo na wakristo

Ni mstaafu wa Jangwani sekondari aliyemaliza mafao yake na kwasasa anaishi kwa hisani ya watu baki na kashamba kadogo ka mihoko huko nilikotaja
Una swali lingine?
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
hao wanaounga mkono jambo hilo lisilofaa katika taifa ilipaswa walambwe risasi za moto hadharani! Yes.

Yesu ni Mwokozi
 
Yes! Here iam.

Mwanasheria makini mwenye hoja makini ambaye hadi sasa hakuna ufipa aliyeweza kunijibu hoja zangu juu ya mkataba huu.

Nasema tena naunga mkono mkataba huu wa ushirikiano baina ya Tz na Dubai kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo Bandarini.
Unatumia ID's kibao kutetea uhaini mliofanya. Hela ya udalali huwa hailiwi, mpaka mpangaji awe amehamia.
 
nilishasimulia sana hapa.. Ila kwa ufupi ni kwamba wakati huo way back 2012 nadhani wakati huo kikijifanya kinaishi Canada, Nikakiambia acha uongo uko bongo na unaishi nyuma ya ofisi ndogo ya ccm Lumumba na ikaja kuthibitika ni kweli.. Faizafix wa Canada yuko bongo tena kwa kuhifadhiwa kwenye yale maghorofa chakavu
Hapo alitimuliwa yuko mitaa ya kibiti ukipita Jaribu kabla ya kufika Bungu ana PI ya kuingia mataifa ya Schengen.. Alileta ujuaji wa kindezi huko akapigwa PI ya milele na Mchonga akaipigilia msumari. Ana chuki kubwa sana na Mchonga, ukristo na wakristo

Ni mstaafu wa Jangwani sekondari aliyemaliza mafao yake na kwasasa anaishi kwa hisani ya watu baki na kashamba kadogo ka mihoko huko nilikotaja
Una swali lingine?
Alaah, kumbe ndio maana hasira sana na ukristo, kisa hifadhi! kumbe Canada nako tatizo lingine, hebu tufanye mpango huku JF tumchangie nauli akasafishe macho atuondolee haya makasiriko🫣🫣
 
We umejuaje kama wanaounga mkono ni sababu za dini?!!!
Nyie mnaopinga hamfanyi hivyo sababu ya dini?!!! Kama ni kweli tuambieni ni lini mlipinga mikataba ya madini ya wazungu?!!!!
huku ni kuwa petty yaa ni very petty.
 
Jifunze kupokea mambo usiyopenda kuyasikia. Ndo ukweli wenyewe huo. Tumekwama sana kama taifa kwa kuendekeza fikra mgando za hovyo. Sasa lazima tusonge mbele. Nyie mnaopinga mkianza kula matunda mema ya maamuzi ya Serikali ndo mtakuja kujiona kwa namna gani mlivyokuwa wajinga
Hausongi mbele kwamawazo ya bora liende tu, kwamba liwalo na liwe na litakalo tokea nalitokee. Hiyo sihekima na busara, maana ukikwama tena utafanya jambo lingine lolote kujishusha thamani. Akili mtu wangu, isitoshe mawazo hayo umeyatoa mwanaume, dah! Aisee siutauza mke na watoto ili bora lisonge. Kweli hii nchi elimu yetu haija tukomboa.
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Inasikitisha mno!
 
Alaah, kumbe ndio maana hasira sana na ukristo, kisa hifadhi! kumbe Canada nako tatizo lingine, hebu tufanye mpango huku JF tumchangie nauli akasafishe macho atuondolee haya makasiriko🫣🫣
P.I (Prohibited Imigrant) haina rivasi.. Labda hapo Mombasa shimo la Tewa nitatoa ticket moja
 
huku tayari tumesomewa waraka wa TEC
Mungu ni mwema
88e9c89499d4df560b14e66647faae32.jpg
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Mshana Jr nakupa onyo, usirudie kuandika pumba, unaposema hawana akili unamaanisha mpaka Rais Dkt Samia???? Usijiingize mtegoni utanasa.
 
Nina heshima kwa watu Wote hata wale wajinga kabisa.. Nina staha kubwa na uumbaji nina hofu ya Mungu usinilishe maneno nisiyosema.. Nasimama na maandishi yangu sihusiki na tafsiri zako

Halafu naomba UKOME kunitisha! Sikutishika ughaibuni ndio nitatishika nyumbani!?
 
Hizi ni tuzo za kupeana tu yaani anayetoa hela nyingi za udhamini na kuwahonga waandaaji hupewa zawadi. Kikubwa tunakata ufanisi wa bandari. Tunawahitaji Dubai waje hapa haraka sana.

Ndugu Naomba Angalia kwenye inbox yako tafadhali
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Mimi nikianza kufikiria hayo huwa nadhani kuna living zombies duniani wapo tunaishi nao.

Misukule mfu iliyotiwa roho na shetani kisha kuweza kuishi na kutenda kwa sura ya binadamu kumbe ipo!

Tena nikikumbuka na historia ya utumwa, ambayo kabla nilikuwa najiuliza ilikuwakuwaje wafanya biashara wachache kuweza kukamata na kisha mateka, kuwapiga cheni na kuondoka na watumwa wa kutosha kwa maelfu kirahisi rahisi tu, nilikuwa sipati jibu!

Lakini kwa stori hii ya Bandari namna ilivyoanza na tulipofikia tayari nimeunga dots na kupata majibu namna hata wewe mjanja wa kukwepa majanga ambavyo waweza kamatwa na kuhasiwa bila ya kujitetea wala kukimbia!

Kumbe hii kasumba ya kuwaamini viongozi wenye majina katika jamii ndiyo njia rahisi na nyepesi ya kutia watu utumwani!

Umoja tunaoimbishwa waTz kuwa tunao, kumbe haupo na chochote cha hovyo kinaweza kutendeka nchini mwetu na pasitokee pingamizi kutoka katika jamii kwa sababu umoja haupo, tulishagawanywa kwenye makundi mfu ya kidini, kichama na kikanda!
Ninasema tena umoja haupo kwa mfano wa mikataba yote mibovu, kuanzia ya Umeme wa Net group sln, Trl ya vijisenti(joka la makengeza), uchimbaji wa madini na gesi na mingine mingi ambayo siwezi kuitaja yote, imeingiwa na kuboronga si zaidi ya miongo mitatu na takribani watu wote wazima tulikuwepo na kushuhudia sakata zote hizo na hadi watu kugawania maburungutu kwenye viroba(kashfa ya Escrow)!

Iweje leo watu hao hao wasahu na waendelee kuamini uwekezaji wenye masharti mabovu waweza kuikwamua nchi kiuchumi?

Tukiendelea na ujinga huu huku tukiamini kuna umoja na mshikamano bila ya kumtafuta mchawi na kumtokomeza,Taifa litatugawanyikia mikononi mwetu kweli.
 
Bora umelitambua hilo! Unajua, katika hii familia ya Jamii Forum, wewe ni miongoni mwa watu wa mfano katika suala zima la hekima. Kuna wengi wanaokufuatilia na kukutumia kama role model wao bila hata wewe kujua, sasa ikitokea akakutana na comment yako ukiwa umeghafilika, anaweza akavunjika moyo.

Ila tumekuelewa mkuu!
Binafsi kuna watu nilikuwa nawakubali sana humu Jamiiforum kadhalika heshima yangu kwao ilikuwa kubwa sana na kila nikikutana na nyuzi nikaona naona ni kama vile nakutana na Chuo nisome, lakini tangu nikutane na baadhi ya comments zao zikidhihaki, tuakana,kejeli na kukashifu uislam wangu, uislam wetu, uislam ninaoupenda kuliko anything basi nikawa moyoni mwangu nikaona kumbe nili overrate tu kumbe ni wajinga kabisa na hawana maana na uwezo mdogo Wa kufikiri na wala hawawezi kujenga hoja kwenye vitu ambavyo wana mahaba navyo au chuki navyo

Sio kwamba kwa vile sio waislam, hapana, laah...kuna watu wengi tu tume wafollow tunakula madini kutoka kwao na tunawa appreciate na sio waislam na hata humu jf still baadhi nipo nao sambasamba

Siku zote mtu ambae ni alama/icon sehemu yeyote ile hawezi tukana wala kukashifu imani ya mtu maana anajua baadhi ya wafuasi wake ni hao anaowatukana, hakatazwi @iamkaga Wa Twitter kupost habari zake za kanisa kwenye page yake maana Mimi kama follower wake najua ni mkristo ila sio aanze kuandika vijembejembe vya ajabu juu ya imani nyingine huo ni ujinga na credit yangu yote niliyompa kama role model kwenye upande Wa technology nitaitoa kwake

Wa humu jf sitowataja ila kila mtu ambae ni iconic humu anajitambua kuwa ana influence kubwa hivyo ni bora kujiepeusha na attacking za moja kwa moja kwenye imani za watu

Kujadiliana hamna tabu juu ya imani au mambo flani ila kutukana kukejeli kukashifu na kudhihaki inakua mbaya sana hiyo

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom