Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

mankachara nitajie umri wako na jinsia yako faster?
 
Last edited by a moderator:
Halafu mtoa mada uwe na heshima na Tanganyika,Tanessco inawabeba sana hamuwezi kuwalipa
tanesco hawaidai hata sumni zanzibar, acha kuzunguka go to the post
 
watoto wenu ma.laya sana.nilikaa huko kama wiki mbili hivi,asubuhi wanavaa hijab usiku vikija club viko nusu uchi na vinawaza ngono tu.kama vipi wapeleke watoto wako iran
taja izo club zilizoko zanzibar acha kubahatisha, maeneo yote yenye club zanzibar wakaazi wengi ni wabongo wasio wazee
 
ahh wewe .. mankachara utakuwa umechukuliwa dem wako nini na jamaa kutoka bara huku naona unalalamika sana mkuu
na uyo ulomtaja hataki hata kuwaona, na usahau kuchukuliwa na wa huko maana hata kiswahili kinawapa shida
 
taja izo club zilizoko zanzibar acha kubahatisha, maeneo yote yenye club zanzibar wakaazi wengi ni wabongo wasio wazee

umesha ambiwa club zilizopo zenzi haijalishi wakazi wa eneo au umri wao.
 

Mawazo yako mazuri sana! Ifike mahali tuamue kuwa muungano uendelee lakini kila watu wabaki kwao. Watanganyika wabaki Tanganyika na Wazanzibari wabaki Zanzibar. Hivyo watanganyika wote walioko Zanzibar waondoke kurudi Tanganyika na Wazanzibari waliioko Tanganyika waondoke kurudi Zanzibar!
 
ni bora itakua la maana, ila viongozi wenu ving'ang'anizi
 
Wazanzibari ni Wavivu, Wana fitna kubwa kati yao,vijiji vya jirani havitembeleani, Kisiwa Cha Tumbatu kinataka kujitenga na siku chache zilizopita waliwapiga marufuku viongozi wote wa Zanzibar kufika Tumbatu. Kati ya Wazee kumi mmoja analala na mwanawe, wizi wa viatu misikitini balaa kubwa, kudhulumiana maeneo wazi wazi ni fasheni, kuwatapeli wawekezaji huku kukiwepo baraka za viongozi ni fasheni Zenji, Zrb ilifadhili kikundi Cha kigaidi Uamsho hadi wakachoma vitegauchumi, mahoteli tendikali kwa watalii, mauwaji na kkadhalika, Wazanzibari mnalazimika kuziba madiritisha tena kwa kupigia Bati au mikeka na kuangamia kwa joto Kisa Wapiga Chabo ambao wengi wao ni Maustaadhi usiowategemea. Wanafunzi wote wa Dini wamekuwa mashoga wote kwa pamoja na wote mkijua chanzo kuwa ni Maalim wao. Pamoja na mengine mengi, Je ni Wa Bara wanaofanya haya?
 
ni bora itakua la maana, ila viongozi wenu ving'ang'anizi
Ni kweli hasa nikiyatafakari maviongozi kama Wasira, Lukuvi, Sita na mingine kutoka Tanganyika yanavyopinga kuwepo kwa Tanganyika na kuing'ang'ania Zanzibar kanakwamba siku Tanganyika ikirudi yatakufa. Hongereni wenzetu kwa uzalendo wa kweli kwa nchi yenu pamoja na udogo wa nchi yetu na uchache wenu, sisi huku pamoja na ukubwa wote huu kama tembo bado maviongozi yetu maoga na hayajiamini. Si unaona jinsi yanavyohangaika kuichakachua rasimu ya katiba mpya ili kuipotezea Tanganyika? Kuna jingine jinga jinga limeanza kukusanya maoni upya. Tufwile!
 
ila kama nyinyi mko tayari kuvunja muungano, hebu niambie mumefika hatua gani katika kufanikisha hili, maana sisi tuliweka mikutano halafu tukaandamana na viongozi wetu mpaka sasa wamefungwa, lakini nyinyi hata hamsemi chochote kama mnataka kuuvunja hebu na nyinyi tiririkeni njiani
 
ao watoto wako viherehere tu
 
Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.
Pamoja na maoni yako yenye hisia kali, umechemka hapa kwenye hitimishola kuwafukuza Watanganyika walio huko 'peponi'.
Na hawa Wapemba na Waunguja waliojazana Tanganyika tuwafanyeje? Tena wamezaana kwelikweli.
 
Halafu angalieni Jina analotumia lenyewe La Kitanganyika.
Mie nawaambia huyu sijui kama hajatendwa
 
Pamoja na maoni yako yenye hisia kali, umechemka hapa kwenye hitimishola kuwafukuza Watanganyika walio huko 'peponi'.
Na hawa Wapemba na Waunguja waliojazana Tanganyika tuwafanyeje? Tena wamezaana kwelikweli.
nimeongea tuwafukuze wasio kazi warudi kwao wakasome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…