ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Habarini marafiki zangu
Awali ya yote napenda kuleta kwennu wale walioongoza hapa jamvini kwa mwaka huu 2013
kwa kuleta thread za kujenga na kubomoa , zilizojaa pumba, story, mipasho, zenye kuelimisha
na za mapenzi, zenye mashindano mbalimbali hapa jf na zenye kuleta mapatano kati ya mtu
na mtu, au jamii kiujumla za zenye kuchekesha ilimradi tu watu waburudike na waienjoy kuwepo
mjengoni humu bila ajizi nawasogeza wale almaarufu humu mjengoni kila iitwapo leo wao
wanakuwa na mada murua za hapa na pale
1. Katika kuelimisha na kuonya na kurekebisha jamii iende katika mstari ulionyooka wafuatao
walijitahidi kutoa uzi hapa mjengoni hususani naangalia pande zote humu jf
a) MziziMkavu, Mtambuzi, EMT, ladyfurahia, AshaDii, Preta, Tuko, The Boss Nicas Mtei
na wengine ambao nimewasahau mtawamention huko chini
2. Wale walioleta uzi za story mbalimbali zingine ziliwahusu maisha yao kiujumla zingine zilikuwa na
na Picha mbalimbali ilimradi tu kuwafurahisha na kuwachangamsha na kuwatia moyo wanajf humu
mjengoni ni kama wafuatao:
b) Mtambuzi, Pasco, Mjeda, Inkoskaz, Bujibuji, Mentor, snowhite, Himidini, Nicas Mtei
na wengine ambao kwa namna moja ama nyingine inimewasahau kuwalist hapa mtaniisaidia kuwalist huko chini
3 Wale walioleta mada zenye mahusiano au mapenzi sana ambazo zilikuwa ni za kujenga na kuelimisha
na kuwaweka watu katika mstari uliionyoika katika ndoa zao ni hawa wafuatao:
c) Simplicity, Fixed Point, No matter, Himidini, Kongosho, Kongolo, M.E.M.A, GAZETI,
Mokoyo, Cruel mpole, msemakweli 10, @@Smile, Adharusi, B'REAL, Eiyer, Braine
4.Wale walioleta Mashindano mbalimbali hapa jamvini na kuweza kufanikisha kuwapata washindi
wa tuzo mbalimbali mjengoni humu nao ni
d) Arushaone, ladyfurahia, na kuna mwingine yeye alijifungia tokana majanga yaliyompata
mwaka jana 2012 ambapo alianzisha shindano la kumsaka mrembo bora wa cc akapatikana
kisha yeye muandaaji akatokomea kusikojulikana na kuibukia july mwaka huu 2013 (jinale linahifadhiwa)
5 Wanaoongoza kwa kuleta thread zenye pumba, mipasho na mambo mbalimbali yenye kuleta vichekesho
vioja na vitimbi mbalimbali jamvini humu ni:
e) Judgement, Lady, SnowBall, Bujibuji, Asprin, Nduka Original, Nyani Ngabu,
6. kuna thread zingine hazieleweki kama zinaelimisha au zinajenga, zinafurahisha sasa sijui niizitaje
nao ni :
f) vivian, kiwatengu, Tripo9, mimi49, TANMO na wengineo wengi niliowasahau wawekeni hapa
Awali ya yote napenda kusema sijamsema mtu hapa vibaya ila nimetoa mada mbalimbali ambazo mwaka
huu ziliongoza hapa jamvini na zilitupa hamasa ya kuzichangia na kufurahia kiujumla kama kuna mtu
nitakuwa kwa namna moja ama nyingine nimekwaza hapa BASI NAOMBA RADHI KWAKE anisamehe
na tupendane daima milele.
Nawatakia kila kheri katika shughuli, masomo, kazi zenu zote,
Wasalaamu
Ladyf
N:B. Mods pls naomba msiondoe hii thread hapa pls pls
cc: Mamndenyi, Passion Lady, Lady doctor, charminglady, watu8, KakaKiiza, Kipaji Halisi, Nicas Mtei, LiverpoolFC, pilipo, mwaJ, mwallu, Heaven on Earth, figganigga, @Firkina, 24hrs, Jiwe Linaloishi, YoungMaster, Invisible, Maxence Melo, gfsonwin, FirstLady, sweetlady, na marafiki zangu wote niliowasahau kuwataja hapa karibuni mlete wengine watoao uzi hapa jamvini .

Last edited by a moderator: