Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
kumbe ulikuwa hujui jamani hebu soma alama za nyakati utambue njoo pale LEO TENA PUB kuna mazoezi ya viungo na kuweka sauti sawa kwani tutakuwa na TAMASHA LA FURAHA siku ya 7/7/2013 hivyo njoo ujumuike ili nawe uwe miongoni mwa waimbaji bora siku hiyo, kwani chief judge Jiwe Linaloishi atakuwepo na mtunza hazina atakuwa watu8
Uwe wa Mfalme Suleimani kabisaa..
aah hiyo tarehe 7 (tasa) utata hebu fanya tarehe 6/7 hiyo siku ya jumapili iko booked mpaka november 2013
jumamosi imetulia hata ukilipuka kesho yake ni kupumbuzika......
Hommie nashukuru kwa ulinzi wako shirikishi...... tusubirie majibu tafazali.
Nimekuja fasta asa kumbe mi ntaimba sauti ya ngapi Heaven on earth? au ya tano?
nikikaa mwenyewe lazma niharibu flow ya masongi, asa bora uchague..wewe au Heaven on earth manake nasikia nyie ndo lead singers
yah kujenga japo ka small house muhimu arusha nyumba bei mbaya.... hata mama jiwe akijua haina shida ili mradi sitawasahau
bora ukae na mimi Passion Lady kakwambia atakaa na nyundo........
oky itakuwa tarehe 6july kwani wengi wameomba iwe hivyo na si unajua wanafunzi waimbaji walivyokuwa na usongo kila mmoja anataka kushinda na zawadi zitakuwepo tele za kila aina na mambo mengi yatajadiliwa na kufanyiwa upembuzi na atakuwepo mgeni rasmi ambaye ni kinana wa hii cc yetu sasa ona mambo mengi yatakakayofanyika siku hivyo lazima uwepo siku hiyo kwani wewe ni chief judge
haaaa!!!swahiba washakuendea
mkuhungu kwa bibi wewe,siamini!!
hahaaha hamna kitu ila nikija itaidi tuonane unitakase.....
sawa sawa kabisa... haina shaka ntakuwepo tuombe uzima tu, talhamisi ya terehe 4 itabidi tukutane serena ili unipe brief na taarifa nyingine muhimu.
nimemsahau mathematics, na Heaven on earth (atakuwa solo leader)