Watambue Waimbaji wa Chit Chat

Watambue Waimbaji wa Chit Chat

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habari zenu bandugu

Nafurahi kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vyema
nashughuli zenu,

Leo nimeonelea niwaletee waimbaji watakao kuwepo katika Tamasha
la Usiku wa Furaha
wa KiCHITCHAT utakaofanyika pale LEO TENA PUB
Tarehe 7/7/2013 na wakataofanya vizuri sana watapewa ZAWADI

Wafuatao ndo wako kwenye mazoezi ya vitendo ili kuipambisha siku hiyo special

s4.jpg hawa walijipanga ili kupiga picha ya pamoja kushoto Elli

anayefuata kushoto ni Lady, Filipo, Mwali, KakaKiiza na Mentor

Weingine ni hawa ni ndugu wa familia 1 ya watu8 wao walijituma zaidi kivitendo
na wako kikazi zaidi angalia hapo wakikamua yaani ladyfurahia, charminglady, Lady doctor, Lady Unbreakable, sweetylady, na Passion Lady






Wengine ni hawa hapa wakifanya vitu kabla ya shindano hilo kufika kilele chake
gfsonwin na sweetylady.jpg hawa ni gfsonwin na sweetlady

mwangalieni Paloma hapa naye yumo ndani ya practice stage





na huyu Smile alikuwa anasinzia kwa uchovu wa mazoezi kwani
niliwapa tizi ile baabkubwa si unajua tena mm ndo mwalimu wao
nataka kitu kitokee kizuri ona hapa

paloma anasinzia.jpg acha kusinzia nenda kwenye mazoezi
Mwita Maranya naye kwa vituko acha tu
anamfundisha mtu namna ya kupiga piano hapo


ndani ya mazoezi ladyf nikikamua
jamani hii picha imegoma jamani nifanyeje itoke hapa
Picha zingine angalieni hapo chini zimegoma kuwekeka my friend
wa mwisho ni Kipaji Halisi akiwa kivyake vyake

na weingine hawakujitokeza kwenye mazoezi siku hiyo nao ni Mamndenyi, watu8, Mtambuzi, Nicas Mtei (huyu sijui kama yuko kweli), Ruttashobolwa, stevoh, Donn (njoo upige gitaa), Mr Rocky, Erickb52 ( keyboard inatukodolea macho kwanini huji kwenye zoezi), The Boss, Chimbuvu ( tunakuitaji sauti ya 4), Heaven on earth, AshaDii (sauti ya 1 mama), Bujibuji (sauti ya 3 uko wapi), Zion Daughter (sasa huyu kaadimika kweli sauti 2 njoo), Asprini ( wewe sauti ya zege yakufaa zaidi), Bakulutu, Excellent (sauti ya 3 njoo), ruttashobanyuma (uko wapi), Arushaone (usikimbie tizi wewe), na weingine sikupata majina yao
naomba mniorodheshee majina yao hapa wawepo kwenye orodha ya
waimbaji wa ChitChat.
KARIBUNI TUBORESHE MASS PRAISE YETU
 

Attachments

  • s2.jpg
    s2.jpg
    7.1 KB · Views: 91
  • malady wakikamua.jpg
    malady wakikamua.jpg
    9.7 KB · Views: 94
  • smile akitoa voko.jpg
    smile akitoa voko.jpg
    11.5 KB · Views: 393
  • mwita maranya akieleza kupiga piano.jpg
    mwita maranya akieleza kupiga piano.jpg
    11.5 KB · Views: 93
  • ladyf ndani ya gitaa.jpg
    ladyf ndani ya gitaa.jpg
    8.2 KB · Views: 95
  • ladyf nikikamua.jpg
    ladyf nikikamua.jpg
    7.3 KB · Views: 94
  • kipaji halisi kivyake.jpg
    kipaji halisi kivyake.jpg
    4.7 KB · Views: 93
Last edited by a moderator:
Kwenye mazoezi nilikuja
tatizo ni foleni ya bongo
kabla sijafika muda wa mazoezi ukaisha
nikaamua kurudi zangu hapa hotelini

tupangie tena muda mwingine wa mazoezi
iwe walau asubuhi kabla ya saa moja.
 
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
 
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
Mungu ni mkuu sana na ni wa kuheshimiwa barazani pa wenye mizaha.
 
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
[/QUOTE]
 
Haya wewe nawe tangu lini Mpwa wangu ukaja na mambo ya Pastor Mamndenyi ? Hii kali sana sana, ngoja niende zangu kwenye mazoezi ya kwaya mie
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
 
Last edited by a moderator:
Hilo pozi la kumbatio la kiuonni nilichukua almost half an hour kumfundisha ladyfurahia jinsi ya kukumbatia........
 
Last edited by a moderator:
Sauti yangu humtoa nyoka pangoni hata babu Asprin analijua hilo
hapo nikijituma

images kuimba.jpg

huyo chini sijui atakuwa nani vile
 

Attachments

  • images kuimba 2222.jpg
    images kuimba 2222.jpg
    6.5 KB · Views: 53
Nilikua natengeneza sauti..
Nilienda kwanza kwa mama kuchukua mayai ya kienyeji
 
Back
Top Bottom