Watambue madalali wa shetani

Mkuu wetu aliyejuu sn sio wakala wa shetani kweli? Mbona anatafuta kwa nguvu damu za watz?
 
Mbona hamjamtaja Lwakatare.Anajiita Mchungaji wapi kwenye Vitabu kuna viongozi wanawake?Ni tapeli mkubwa sana.
 
MATHAYO 24:4-5.
MATHAYO 24:24
Hspo ni manabii wa uongo ktk siku za mwisho, si kwamba siku za mwisho watatokea MANABII WA UKWELI, SS KWANII YESU KUSEMA MANABII WA UONGO TU BADALA YA MANABII WA KWELI????

TAFAKARI! !!!
 
Hspo ni manabii wa uongo ktk siku za mwisho, si kwamba siku za mwisho watatokea MANABII WA UKWELI, SS KWANII YESU KUSEMA MANABII WA UONGO TU BADALA YA MANABII WA KWELI????

TAFAKARI! !!!
Ndiooo hao haoooooo wote ni kundi Moja
 
Husihukumu husije kuhukumiwa.....
Kama Mungu hakuwatuma kufanya wanachokifanya kiberiti kipo juu yao
 
Mali yote nyumbani mwa Bwana ni Mali ya Mungu. Kama Mtumishi unapaswa kuitumia kwa hekima na umakini mkubwa..

Waumini wanatoa ili Ghalani kiwemo chakula.. Akimaanisha hakukupaswa kuwepo Mtu anayeomba Barabarani maana Nyumbani mwa bwana kimo chakula..

Watu katika shida na mawaa walipaswa kuelekea Hekaluni.. Kumuona Mtumishi Wa bwana awasaidie.. Japo watumishi Wa bwana wanakula hekaluni hawakupaswa kujilipa mishahara kwa kufanya kazi ya Mungu ni dhambi.

Japo wanaruhusiwa kukidhi mahitaji yao kwa kutumia makusanyo. Hawapaswi kuwa mawakili waovu wa mali ya Bwana ikiwa na kuwa na matumizi mabovu makubwa ya anasa.. In dhambi.
 
hii list haijawa updated kweli kwa mwaka huu mana naamin wameongezeka wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…