Watalii kutokuja tena Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watalii kutokuja tena Tanzania?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ThinkPad, Dec 4, 2009.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii hali ilivyo sasa mbugani waarabu kuweka makazi yao namna hii , Kweli Mmarekani ataweza kuja mbugani na hali ikiwa hivi jamani hii mbona kubwa kuliko ni kwanini tujipotezee mapesa ya wazungu wakati wazungu toka enzi na enzi ndio ambao wamekuwa wakitusaidia,
  sisi hata kama hatwendi mbugani kuangalia maliasili zetu ni uwezo tu ila tunazipenda sana tena sana ningependa Mbuga ziheshimiwe waachwe wanyama pekeyao wasiletewe usumbufu.
  Lakini kwanini nyinyi tu jamani mbona Kenya haya mambo hayapo? are we stupid? %%%%#####**** griiiiiiiiiiiiiii
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,705
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Inatisha.

  Amandla.......
   
 3. M

  Magezi JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Jamani msisahau ile barabara ya lami inayokwenda manyara ilijengwa kwa pesa za hawa waarabu wakati wa utawala wa mwinyi sasa tunalipa madeni na mpaka wanya wote wataisha.
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  If they pay dues as per our own terms being an arabs to me is not a probe, the issue comes when the total business of tourism in our country surrounded by day to day unanswered questions.

  Let us ask mama mkubwa Mwangunga: Are we getting anything from them being at our land?
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  maskini hachagui mfadhili.
   
 6. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nimeshawahi kuwinda na kuona wawindaji wengine. Lakini hii, sijaona tena. Looks as if huyu jamaa yupo katika mazoezi ya kivita!! Is this really our Tanzania?

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,647
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Tukisema hapa kuna watu wataingia kwa nguvu zote kutetea serikali hii kama vile hawana akili nzuri. HUU NI UPUMBAVU MTUPU.
   
 8. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,647
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Hivi tumelogwa??? Mie sio mshirikina ila naanza kuhisa iko namna katika akili zetu ambayo lazima nguvu za giza zimetumika kutufanya hivyo. siobure
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  The issue hapa ni yale yale ya POLITICS OF HATE na NARROW MINDEDNESS ya baadhi ya wachangiaji humu

  Je hizo picha zingekuwa za akina Prince William au royal family ya Britain isingekuwa tatizo lakini kosa la hawa jamaa ni asili yao sasa itatafutwa kila namna ya kuwafanya waonekane hawafai and so on

  Nyie mshatangaza utaliii ili wageni waje wa kila namna na hawa wanaenda kuwinda hilo lishakuwa kosa?

  Kama huko Loliondo hakuna huduma mnazotaka sasa hilo nalo kosa la Sheikh Mohammed?

  acheni kuwa na mitazamo finyu...mnajua fika tatizo ni SERIKALI na si jukumu la hao waarabu kupeleka maji na huduma za afya huko hilo ni jukumu la serikali yenu na kama mnatafuta mchawi then huko ndiko kwenye mchawi wenu na si kuanza kutafuta uchawi kusipo

  halafu so far sijaona hata tone moja la ushahidi kuwa yote ambayo yanasemwa kuhusu Loliondo ni kosa la waarabu au kwa sababu ni easy target?


  If anything wabaya wenu ni hao mnaowatuma wanegotiate hiyo mikataba yenu na bila kusahau wanasheria wenu. Mimi at this moment nishaacha kulaumu external forces kwenye hii mikataba ambayo hamuishi kulalamikia


  hebu mie niende nikasome episodes za Kafulila na Zitto.
   
 10. E

  Eddie JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fundi mdini unatishwa na nini?
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  anajitisha tuu huyo

  ushasahu kuwa kuna hiyo element ya SLAVE MENTALITY...wenzio walitaka kuona a bunch of WHITE EUROPEAN ROYALTY nothing more
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,647
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Wewe huelewi kinachoendelea kule, usingesema usemayo.
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  acheni UDINI

  haya wewe unayejua kinachoeendelea tuambie kinaendelea nini
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ataelewa wapi wakati yeye ni sehemu ya deal yenyewe ila tu anaishi uingereza kutunza maslahi yao?
  Atabaki na kasumba ya dini mfu yao hiyo! Ngoja nijiweke tayari kuingia ulingoni na JMK 2010.
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  MASIKINI HACHAGUI MFADHIRI.....................
  Tutahuuuuuuuuuuuuta kuwajua kwa vilemba
  jk anahisa zake utamwambia nini kuhusu hili wakati maslahi yake yametimia?
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  inakatisha tamaa sana mambo kama haya....................
   
 17. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  duh hapo hata Ossama atapatamani na kupandikiza vitu vyake! kwanza ebu tuwe na mtiririko flani, hawa waarabu wapo mbugani,kule kuna ile hotel waliojenga wamarekani,kumbuka viongozi wakubwa wa staes wanafikiaga mle pia wazungu wengi ifluential kama kina abrom mlemle! hatuoni kuna km long term plan hapa? hata km haipo itatekelezwa?sisi hatufagilii wazungu la hasha tunafagilia anaetupatia faida, analinda mazingira yetu, anatuheshimu, asiyekuwa dangerous,sasa hii nchi kina Kikwete wanaipeleka wapi?utauziaje mtu hifadhi ya taifa? imetokea wapi duniani kma si tanzania peke yake? oh Allah have Mercy on us ur children
   
 18. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Duuh!
  Hii ni kali kama ndiyo yanayoendelea huko mbugani.
  Soon na hao wanyama wataisha kama madini yalivyokaribia kuisha
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  hapa ukimwangalia game theory alivyo kwenye picha ndivyo wenye nchi walivyokata tamaa kwa jinsi mambo yanavyoendeshwa......................tunaishia kushika tama
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Matunda ya ari mpya na nguvu mpya very soon tutawekwa ndani ya terrorist list
   
Loading...