Watalaam, nini suluhisho la hili tatizo la uvimbe shingoni na homa?

Toka mwezi wa saba mpaka januari ni kama miezi sita hivi ambapo ni muda sahihi wa dose ya TB. Kupungua kwa Lymph node kwa kiasi kidogo ni dhahiri kuwa dawa zimefanya kazi lakini pia inawezekana zilw dalili kama Kikohozi kikali..kutoka jasho usiku sana na homa za ovyo hakuna tena. Hizi tezi zikivimba huwaga sio rahisi kurudi kwenye hali yake faster ila with time itaishaa tu. Pia sijaju hiyo lymph node ina size gani kiasi kwamba imsumbue jamaa maana haziwagi kubwa as if mtu ana Goitre.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Uvimbe siyo mkubwa kama Goitre na hakohoi ila ana homa ya mara kwa mara na amemaliza dawa za TB tangu januari 04 mwaka huu.
 
Hakurudi, maana aliambiwa akimaliza dawa mauvimbe yataisha, hivo akawa anasikilizia.
TB sip kama Kuumwa kichwa ndugu kwamba ukiona umepata naafuu ndo umepona...!! Mwambie arudi tena hospital wao ndo wataconfirm kuwa amepona... Hiyo tezi itaendelea kuvimba zaidi baada ya muda kama Hao bacteria wa TB bado wapo yani maana hata dawa za kupambana nao hanywi tena so arudi hospital tena akafanyiwe vipimo.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
TB sip kama Kuumwa kichwa ndugu kwamba ukiona umepata naafuu ndo umepona...!! Mwambie arudi tena hospital wao ndo wataconfirm kuwa amepona... Hiyo tezi itaendelea kuvimba zaidi baada ya muda kama Hao bacteria wa TB bado wapo yani maana hata dawa za kupambana nao hanywi tena so arudi hospital tena akafanyiwe vipimo.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu
 
Na je, kuna tiba nyingine mbadala?
 
Hapana ila wanaweza kumpunguzia dawa tu akabaki na Isoniazid na Rifampicin peke yake may b...!! So tokana na hali atakayokuwa nayo na majibu yake.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Sawa, ila tatizo lina uwezekano wa kwisha kabisa kama akianza tena dawa?, na je, hizo dawa hazina side effects?, maana ni za kutumia muda mrefu.
 
Hakuna dawa ambayo haina side effect lakini so long kuna advantage ya kupona then we take risk mkuu. Yaah atapona kabisa yanii TB inatibika cha muhimu awahi Clinic maana ikiwa sugu ndo mambo ya Kwenda Kibong'oto huko ambako madawa yake ni makali zaidi yani na mengi. Azingatie dawa na ale vizuri...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Hakuna dawa ambayo haina side effect lakini so long kuna advantage ya kupona then we take risk mkuu. Yaah atapona kabisa yanii TB inatibika cha muhimu awahi Clinic maana ikiwa sugu ndo mambo ya Kwenda Kibong'oto huko ambako madawa yake ni makali zaidi yani na mengi. Azingatie dawa na ale vizuri...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ahsante sana kwa ushauri wako mzuri, MUNGU akubariki sana ndugu angalau nimepata matumaini flani.
 
Back
Top Bottom