Watahiniwa wa CPA njia panda

Watahiniwa wa CPA njia panda

Vitu vingine ubishi tu ...piga CPA hadi mwisho then uje hapa useme kama uelewa wako ni ule ule ....pamoja na baadhi ya mapungufu mengine lakini ukimchukua mtu aliyetoka chuo tu na hana CPA na mtu ambaye katoka chuo na kusoma CPA direct levels zao uelewa ni mbingu na nchi .....mtu ambaye hana CPA lakini yuko vizuri ni very exceptional hasa experience lakini mtu huyo kama angepiga na CPA ingekuwa zaidi.
 
Unaielewa Banking industry ya Tanzania wewe au unaongea ongea tu hapa.
Barclays Bank Tanzania, CFO wake wa sasa ni Mtanzania, simkumbuki jina.
Simuelewi wa Citi Bank na sintoshangaa akiwa ni Mtanzania pia.

sasa unataka kujenga hoja ya Bank Moja kuwa na CFO wa kigeni kusema Bank za kigeni hizo nafasi wanapewa wageni (shame) - unajua hata statistics wewe.

Ninamjua mmoja tu, tena sio mgeni, Mtanzania mwenzetu Alex Mziray, CFO wa FNB ndio mwenye ACCA na hiyo kwenye statistics inaitwa ni out layer, inaondolewa kwenye analysis.
Rished Bade...CPA holder aliisababishia Barclays Bank hasara kubwa sana mpaka akatimuliwa
 
Vitu vingine ubishi tu ...piga CPA hadi mwisho then uje hapa useme kama uelewa wako ni ule ule ....pamoja na baadhi ya mapungufu mengine lakini ukimchukua mtu aliyetoka chuo tu na hana CPA na mtu ambaye katoka chuo na kusoma CPA direct levels zao uelewa ni mbingu na nchi .....mtu ambaye hana CPA lakini yuko vizuri ni very exceptional hasa experience lakini mtu huyo kama angepiga na CPA ingekuwa zaidi.
hao ma CPA holder huko makazini wanachemsha hatari......
 
Wakuu Msaada,

Me najiandaa na papers za foundation stage mwezi May, Nimeshindwa kupata materials na past papers za kutosha. Je,naweza kupata wapi?

Nipo mkoa wa Rukwa, Nimeshindwa kumpata hata teacher wa kunipush, Nahangaika mwenyew,

Kwa wazoefu, Je kuna watu huwa wanachakarika wenyewe kujisomea au hadi wapate training, discussion n.k

Naomba wajuvi mnisaidie hasa kuhusu upatikanaji wa materials.

Shukran
Nimesoma CPA bila kuingia review class toka foundation hadi final njoo inbox nikupe ujanja ni rahisi nitafute nikupe mbinu
 
It's true. nina ndugu ni mwajiriwa kama accountant kwenye Halmashauri fulani huko Bongo, yuko underpaid ile hatari. nasikia CPA haiko considered for promotion kwa walio makazini(am not sure on this..)
Uko sahihi
 
Binafsi hata mimi ukiniuliza ntakwambia sioni umuhim wa CPA maana haina kitu cha ziada inachomuongezea mhasibu kitaaluma.

Ingebadilishwa ikawa kama ya wanasheria au maengineer angalau ingeleta maana.

Wewe unasoma review class kisha ufanye mtihani ufaulu tu basi ndio kitu gani, na review ni kwa watu ambao wengi sio fresh from school, kukariri maswali na majibu ya pepa zilizopita kisha ukafaulu basi.

Kwa kweli utaratibu ubadilishwe.
Mkuu umefanya paper? Unafaham taratibu za kutimiza ili usajiliwe kufanya CPA exams?
 
Vitu vingine ubishi tu ...piga CPA hadi mwisho then uje hapa useme kama uelewa wako ni ule ule ....pamoja na baadhi ya mapungufu mengine lakini ukimchukua mtu aliyetoka chuo tu na hana CPA na mtu ambaye katoka chuo na kusoma CPA direct levels zao uelewa ni mbingu na nchi .....mtu ambaye hana CPA lakini yuko vizuri ni very exceptional hasa experience lakini mtu huyo kama angepiga na CPA ingekuwa zaidi.
Hilo lipo wazi
 
Nimesoma CPA bila kuingia review class toka foundation hadi final njoo inbox nikupe ujanja ni rahisi nitafute nikupe mbinu
Mkuu..
Nimesoma tax ya pale kodi. Ila ninampango wa kufanya mitihan ya cpa kwa mwakani. Nahitaji pia ujanja ili nifaulu bila kuludia ludia..

Nipokee Pm
 
..hili la teuzi za viongozi kwenye taasisi Na bodi ama vyuo mbalimbali ni shida sana utawala huu...utashangaa nafasi za kisiasa zinajazwa fasta...lakini za kiutendaji(technocrats) ni shida...na watu wapo tele...hadi unaishia kufikiri anatafutwa mtu wa kwao kanda ya ziwa!!...sasa mtu afikirieje kama nafasi zinakua tupu hadi mwaka!!...hata huko mavyuoni watu wanakaimu mno...alafu mnalalamika utendaji mbovu!!!!wapi Na wapi bana....
 
It's true. nina ndugu ni mwajiriwa kama accountant kwenye Halmashauri fulani huko Bongo, yuko underpaid ile hatari. nasikia CPA haiko considered for promotion kwa walio makazini(am not sure on this..)
Acha uzushi.
Serikalini CPA ina upperhand hata kwa PHD ya uhasibu.
Na huyo ndugu yako aliyeunderpaid unamlinganisha na mwenye qualification ipi ya uhasibu na wakiwa at the same level?
 
Nimesoma CPA bila kuingia review class toka foundation hadi final njoo inbox nikupe ujanja ni rahisi nitafute nikupe mbinu
Review class hua ni kwa ajili ya vilaza na waliosoma zaman ambao wanatakiwa kukumbushwa.
 
Back
Top Bottom