Watahiniwa wa CPA njia panda

Watahiniwa wa CPA njia panda

Ukikutana na huyo CPA holder utadhan umekutana na trafiki anayekutishia kukupiga faini na mashine yake ya EFD. Kichwan weupe kupitiliza
Kwani wewe una nini kichwani?usidharau mtu. Wewe mbona unadhani umeandika kitu kizuri lakini ss tunaona kama std 7ila hatusemi?
 
Kwani wewe una nini kichwani?usidharau mtu. Wewe mbona unadhani umeandika kitu kizuri lakini ss tunaona kama std 7ila hatusemi?
Ndo nyie nyie CPA (T) holders mnaojikusanya pale Mnazi Mmoja shule ya msingi tuition/review. Full ku-kremishwa. Mkitoka hapo ni kwenda kutapika kwenye mtihan then muanze kuiba huko halmashauri
 
Bwashee alikuja akafuta yale ma BBC. Naboce na NAD 1&2 akaleta ma Atec na CPA na wakati ule ilikuwa ni akina Swai, Lyatuu, Massawe, Lyimo, Kavishe and the like ndio waweza ipata hiyo CPA (T) vinginevyo utakula supu hadi ya mawe!
Basi Mengi alifanya jambo zuri saaaaana.

Nampongeza kwa hilo.
 
Si kweli professional body yenu tu CPA (TZ) ndo ina magumashi tu. Mmekaa kiwizi wizi tu.
Ndio inatakiwa kabisaa,tena wakaze zaidi na zaidi.

Mpk leo nchi yenye watu zaidi ya mil. 50 CPA holders hawazidi 10,000,safi saaaana.
 
Duh! Hiki ni kitu cha kushangaza sana.

Wakuu,

Inasemekana hadi leo bodi ya Wahasibu na ukaguzi wa mahesabu (NBAA) wameshindwa kutangaza matokeo ya CPA Exams.

Sababu kuu sijafahamu lakini kwa kumbukumbu zangu toka Prof ASSAD ateuliwe kuwa CAG nafasi yake kama NBAA Board Chairman haijajazwa.

Kama board muda wake umeisha na hakuna Chairman wa kuteua nyingine maana yake hakuna wa ku approve matokeo. Kama sababu ni hii bora itafutwe njia ya haraka kuwasaidia wanafunzi kujua matokeo na kujipanga kwa mitihani ya mwezi May 2018.

Kwavile JF ni kisima cha habari pengine tukajua exactly kinachochelewesha matokeo. Kuna wadau wamepewa deadlines vibaruani kuclear CPA toeni matokeo wajue ni mbivu ama mbichi.
 
Ndio inatakiwa kabisaa,tena wakaze zaidi na zaidi.

Mpk leo nchi yenye watu zaidi ya mil. 50 CPA holders hawazidi 10,000,safi saaaana.

Kwani kuna degree ngapi za uhasibu?

Hao NBAA wanapaswa kujitangaza, sababu watu wengi huijua CPA baada ya kufika vyuoni wakati hata form four leaver anaweza anza mchakato wa kuwa certiftied baada tu ya kumaliza masomo yake O-Level.
 
Hawezi kukubali huo Uteuzi kwa kuwa itamgharimu Kama ilivyomgharimu Prof Assad

Neema ni Partner wa Ernest & young

Neema anafanya Kazi ya consultancy na Treasury kwenye kutengeneza sera na uandaaji wa mahesabu ya jumla ya Serikal

Neema ni Mjumbe wa Bodi ya Wahasibu Duniani kanda ya Africa

Kwa kuteuliwa kwenye hiyo nafasi kutokana na conflict of interest atapoteza fursa nyingi japo kibongo bongo ukiteuliwa ukamchomolea Yule Mzee anakupora tenda zote kwa kumdharau
Fafanua kuhusu Prof.Asad,imemgharimu vipi kuwa CAG,si ni shavu like?
 
Basi Mengi alifanya jambo zuri saaaaana.

Nampongeza kwa hilo.
Ni kweli katika hilli Mwenyekiti mstaafu Mengi na Mkurugenzi/ mwenyekiti mstaafu Utoh ni wa kupongezwa kwa kuimarisha uchumi na kukuza sekta ya " udalali" nchini!
 
Ndo nyie nyie CPA (T) holders mnaojikusanya pale Mnazi Mmoja shule ya msingi tuition/review. Full ku-kremishwa. Mkitoka hapo ni kwenda kutapika kwenye mtihan then muanze kuiba huko halmashauri

We jamaaa unachuki balaaa,itakua ulijaribu ukashindwa bila shaka sio bure.Acha Wendy CPA zao wafanye Yao wewe unakuuma nini km mtoto wa kike
 
Ndio inatakiwa kabisaa,tena wakaze zaidi na zaidi.

Mpk leo nchi yenye watu zaidi ya mil. 50 CPA holders hawazidi 10,000,safi saaaana.

Nadhani cpa holder TZ ni chini ya elfu sita tangia uhuru
 
Back
Top Bottom