Ndembwela
Member
- Oct 7, 2013
- 13
- 6
Sababu kuu sijafahamu lakini kwa kumbukumbu zangu toka Prof ASSAD ateuliwe kuwa CAG nafasi yake kama NBAA Board Chairman haijajazwa.
Mpaka mwaka jana Chairman alikua Prof Isaya Jairo.
Sababu kuu sijafahamu lakini kwa kumbukumbu zangu toka Prof ASSAD ateuliwe kuwa CAG nafasi yake kama NBAA Board Chairman haijajazwa.
Unazungumzia serikalini ipi?ya Kenya?Acha uzushi.
Serikalini CPA ina upperhand hata kwa PHD ya uhasibu.
Na huyo ndugu yako aliyeunderpaid unamlinganisha na mwenye qualification ipi ya uhasibu na wakiwa at the same level?
We we utakuwa amefeli CPA mpaka umekuwa na hasira nayo, kama sio kukufutia1. CPA haina thamani nje ya mipaka ya nchi hii.
2. CPA holders wengi weupe vichwani huko serikalini, mabingwa wa madil.
Ifutwe tu.
Pale MAJI mlikuwa mnawajaza wahasibu na magari yao, sa nashangaa nikipata siku hizi siwaoni! Kumbe sababu ni hii!Tutors tumebaki njia panda pia,wanafunzi wanasubiri matokeo. Kumbi tumeshabook na kulipa advance.
MmmhNilimsikia Maneno mwaka jana kwenye kipindi cha tunatekeleza akisema wako 75,00 na wana mpango kufikia 2025 wawe 15,000.
Halafu NBAA wameshauri tuanze tu kufundisha huku tukisubiri matokeo. Hii bodi imekuwa kama chama cha siasaPale MAJI mlikuwa mnawajaza wahasibu na magari yao, sa nashangaa nikipata siku hizi siwaoni! Kumbe sababu ni hii!
Kichwa chako kibovu ndo maana unaona haifai. Wenye cpa zao tunawaona analytics wazuri sana. Labda kama umepata cpa ya kuonyeshwa pepa.1. CPA haina thamani nje ya mipaka ya nchi hii.
2. CPA holders wengi weupe vichwani huko serikalini, mabingwa wa madil.
Ifutwe tu.
Sema wewe kichwa chako kibovu hakiwezi beba issues nyingi ndio maana unaona ngume. Kifupi una only 2MB storage capacity na ni bora utafute kazi ingine achana wahasibuCPA ifutwe kozi ngumu halafu haina maana yoyote .
Sina Current facts, lakini
1.Barclays Bank, Rished Bade CPA (T) (Mtanzania mwenzetu) alipata kuwa CFO na baadae CEO
2.NMB - Major share holder bank ya kiholanzi, CFO wake mpaka recently alikuwa Mtanzania mwenzetu Waziri Barnabas CPA (T)
3. Kenya Commercial Bank, Hii imekuwa ni finance leadership ya kitanzania kwa Muda mrefu sana, wamepita hapo akina Seleman Ponda CPA (T) now CFO wa Tanzanian only International Bank (Exim Bank), CEO wa Kenya commercial Bank nae ni mwenzetu, CPA (T) pia.
4. Stanbic Bank, CFO Dada Lydia Kokugonza, our own, CPA (T)
5. Standard Chartered Bank, CFO pale ni one of own pia, one strong madam, Ruth Zaipuna CPA (T)
Kwa ufupi tu, na hizo ni Big Banks hapa Tanzania, sasa wewe unazungumzia wageni wepi?
Hiyo ni sababu ya ubaguzi wa wahindi kwa waafrika weusi. Hawaoni sababu ya kutoa service kwa mweusi. Hata mahospitalini wanatoa huduma bila kujisikia na naamini wakiachiwa tu, hawatapenda ku-share hospitali na mweusi. Nenda Regency Medical centre, utawaona wanavyolazimisha priority kwa kuamini hiyo ni yao.Interesting..! navyojua mimi wahindi wakimaliza shule, huwezi kukutana naye mtaani akiomba kazi especially Bongo. Those folks wana-target soko la ajira la nje na siyo ndani coz ACCA inatambulika duniani. wengine wanaenda kuendeleza kampuni/biashara za familia, that's why hukutani nao maofisini kama waajiriwa.
Sina Current facts, lakini
1.Barclays Bank, Rished Bade CPA (T) (Mtanzania mwenzetu) alipata kuwa CFO na baadae CEO
2.NMB - Major share holder bank ya kiholanzi, CFO wake mpaka recently alikuwa Mtanzania mwenzetu Waziri Barnabas CPA (T)
3. Kenya Commercial Bank, Hii imekuwa ni finance leadership ya kitanzania kwa Muda mrefu sana, wamepita hapo akina Seleman Ponda CPA (T) now CFO wa Tanzanian only International Bank (Exim Bank), CEO wa Kenya commercial Bank nae ni mwenzetu, CPA (T) pia.
4. Stanbic Bank, CFO Dada Lydia Kokugonza, our own, CPA (T)
5. Standard Chartered Bank, CFO pale ni one of own pia, one strong madam, Ruth Zaipuna CPA (T)
Kwa ufupi tu, na hizo ni Big Banks hapa Tanzania, sasa wewe unazungumzia wageni wepi?
Elimu ya kibongo ina mushkeli, na tatizo linaanzia kwenye mindset za watu wenyewe (watawala). Kila kitu kina historia nyuma yake, kama ulivyo uhasibu...walioandaa mitaala ya CPA walichemka kwa kuweka urasimu na ukiritimba kwa kuruhusu wachache wapate na wengi wabaki. kuna kipindi hapo zamani, watu walikuwa wanatambiana kuwa na CPA...na ukicheki mindset za wakuu wa NBAA wote waliopita na ma-CAG waliokwisha kupita...unaweza connect dots kuhusu kufaulu na kufeli kwa CPA.
Kuhusu waswahili nao kuwa na ACCA, siyo shida sana though kuna tofauti ya mswahili CPA na mwenye ACCA
Naomba niwaudhi kwa kusema ukweli. Hivi vijamaa vinavyojiita vihasibu vya CPA na NBAA yao ni vi-mtu vya ajabu, ni venye wivu na majivuno bila sababu. Kozi ya uhasibu ni dhaifu na haionyeshi kuisumbua akili ya mwanadamu wa kawaida kuwa na vikwazo kiasi hicho!!! Linganisha na masomo mengine yanayoisumbua akili ya mwanadamu wa kawaida na wanapewa wengi wenye uwezo mkubwa ki-akili.Wapo watanzania wengi tu wana hizo ACCA qualifications, na ukumbuke swala la kuaccess internationally education ama international respected qualifications ni swala la exposure na financial ability.
Kwa muda mrefu NBAA walikuwa wanaendesha mafunzo ya CPA kwa dhana ya vipanga wapate, vilaza watupwe nje, Na hapa msingi mkuu wa ukipanga ukiwa uwezo wa kusoma na kukariri kwa muda mrefu ikihusisha kukesha na kukesha na kukesha ukisoma.
Hii ukiongeza na ukweli kwamba, kama Tanzania hakuna uwekezaji wa msingi ulikuwa umefanyika kwenye sekta ya Elimu iliyopelekea kuwa na uhaba wa vitabu vya kutosha, ikawaondoa wahindi na kuwakimbizia huko ACCA.
ACCA ni kozi rahisi sana kufaulu kuliko CPA mpaka siku za karibuni.
Zamani walichokuwa wanafanya NBAA ni kwamba
kwanza wanalazimisha lazima ufanye mitihani isiyopungua mitatu, na ukufanya hivyo ni lazima ufaulu miwili, ukifanya mitihani mitatu ukafaulu mmoja wanahesabu umefeli yote (very awkward).
Matokeo yake, watu wanasoma kufaulu na sio kuelewa, sasa wamebadirisha, unaweza fanya mtihani mmoja tu, ukiufaulu poa, hii itawapa wanafunzi na ma CPA wetu fursa ya kusoma mambo kwa undani na mapana.
sasa hapo tunaweza wapina na wengine sawasawa
Hahah kiukweli jibu la hili swali huwezi kulipata kirahisi rahisi.Naomba niwaudhi kwa kusema ukweli. Hivi vijamaa vinavyojiita vihasibu vya CPA na NBAA yao ni vi-mtu vya ajabu, ni venye wivu na majivuno bila sababu. Kozi ya uhasibu ni dhaifu na haionyeshi kuisumbua akili ya mwanadamu wa kawaida kuwa na vikwazo kiasi hicho!!! Linganisha na masomo mengine yanayoisumbua akili ya mwanadamu wa kawaida na wanapewa wengi wenye uwezo mkubwa ki-akili.
Kwa nini iwe ni rahisi kijana aliyemaliza MD kusajiliwa kama dakatri nchini? Kwa nini mtu aliyemaliza LLB iwe ni rahisi kusajiliwa kama advocate? Kwa nini mtu aliyemaliza BSc Eng. iwe ni rahisi kusajiliwa na bodi ya ma-injinia? Kwa nini aliyemaliza B. Pharmacy kusajiliwa kama mfamasia? Sasa niambieni kwa nini iwe ni vigumu mtu aliyemaliza B.com. kupata CPA? What is this rubbish CPA under normal brain functioning?
Nimekupata kwa ufasaha!! Uhasibu na CPA zao ni kozi dhaifu, ajabu wanailazimisha ionekane ngumu dunia hii. Wapuuzi tu ndo maana hata wenye CPA ni hovyo hovyo tu! Ila wanavaa tai kila wakatii! 🙂)Naomba niwaudhi kwa kusema ukweli. Hivi vijamaa vinavyojiita vihasibu vya CPA na NBAA yao ni vi-mtu vya ajabu, ni venye wivu na majivuno bila sababu. Kozi ya uhasibu ni dhaifu na haionyeshi kuisumbua akili ya mwanadamu wa kawaida kuwa na vikwazo kiasi hicho!!! Linganisha na masomo mengine yanayoisumbua akili ya mwanadamu wa kawaida na wanapewa wengi wenye uwezo mkubwa ki-akili.
Kwa nini iwe ni rahisi kijana aliyemaliza MD kusajiliwa kama dakatri nchini? Kwa nini mtu aliyemaliza LLB iwe ni rahisi kusajiliwa kama advocate? Kwa nini mtu aliyemaliza BSc Eng. iwe ni rahisi kusajiliwa na bodi ya ma-injinia? Kwa nini aliyemaliza B. Pharmacy kusajiliwa kama mfamasia? Sasa niambieni kwa nini iwe ni vigumu mtu aliyemaliza B.com. kupata CPA? What is this rubbish CPA under normal brain functioning?
CPA holders ni ushooz mtupu. Wengine ni wale members wa Tanzania Institute of Directors. Sijui watu wanawazaga nn a see. No wonder kampun zote za maana nchini eg. Telecom, Commercial banks (ukiacha CRDB ingawa deputy MD ni mhindi)+investment banks, airlines etc. Wanaleta wageni. Maana washaona hiz CPA Sijui institute of directors ni vichaka vya makanjanjaNimekupata kwa ufasaha!! Uhasibu na CPA zao ni kozi dhaifu, ajabu wanailazimisha ionekane ngumu dunia hii. Wapuuzi tu ndo maana hata wenye CPA ni hovyo hovyo tu! Ila wanavaa tai kila wakatii! 🙂)
Naona kama umedata na Multiple ID zako.CPA holders ni ushooz mtupu. Wengine ni wale members wa Tanzania Institute of Directors. Sijui watu wanawazaga nn a see. No wonder kampun zote za maana nchini eg. Telecom, Commercial banks (ukiacha CRDB ingawa deputy MD ni mhindi)+investment banks, airlines etc. Wanaleta wageni. Maana washaona hiz CPA Sijui institute of directors ni vichaka vya makanjanja
Shule ya sheria ni kwamba watu wanafundwa na wanataaluma. CPA mtu anasomeshwa review na makanjanja tu wa mjini. Full vitini na ubabaishaji.Duh! Mkuu itabidi tufute na shule ya sheria ili kila mwenye degree ya sheria awe wakili automatically...simple tu