Watahiniwa wa CPA njia panda

Watahiniwa wa CPA njia panda

Ndo nyie nyie CPA (T) holders mnaojikusanya pale Mnazi Mmoja shule ya msingi tuition/review. Full ku-kremishwa. Mkitoka hapo ni kwenda kutapika kwenye mtihan then muanze kuiba huko halmashauri

Dah we ni zaidi ya sumu
 
Wakuu Msaada,

Me najiandaa na papers za foundation stage mwezi May, Nimeshindwa kupata materials na past papers za kutosha. Je,naweza kupata wapi?

Nipo mkoa wa Rukwa, Nimeshindwa kumpata hata teacher wa kunipush, Nahangaika mwenyew,

Kwa wazoefu, Je kuna watu huwa wanachakarika wenyewe kujisomea au hadi wapate training, discussion n.k

Naomba wajuvi mnisaidie hasa kuhusu upatikanaji wa materials.

Shukran
 
Mimi naona mfumo wetu wa elimu una shida.

Ni kweli unakuta mtu ana CPA lakini kichwani ni mweupe kabisa kama karatasi, unajua kabisa kua huyu alikariri maswali na majibu ya mitihani iliyopita akaikuta kwenye mtihani akafaulu.

CPA haina chochote kipya inavhomuongezea mhasibu kitaaluma na kwenye kuongeza uwezo zaidi ya hiyo certification ya kisheria.

Bora hata CPA ingefanywa kama sheria, kwamba watu warudi darasani kujengewa uwezo upya na kuongezewa maarifa, ila hii inayoitwa review maana yake hakuna kipya unaenda kurudia uliyoyasoma chuo.

Mfumo wetu wa elimu uangaliwe upya. Hakuna tofauti ya mwenye CPA na asie nayo zaidi ya cheti chenyewe.

Yani unakutana na mwenye CPA yeye defence yake ni cheti tu lakini kitaaluma na kiuwezo hana tofauti na asie na CPA. Huu ni wendawazimu.
 
Tulieni labda hawajakubaliana idadi ya wale watakaopitishwa. Jamaa hao huamua tu, ili kuifanya iwe ya wachache.
 
Hawezi kukubali huo Uteuzi kwa kuwa itamgharimu Kama ilivyomgharimu Prof Assad

Neema ni Partner wa Ernest & young

Neema anafanya Kazi ya consultancy na Treasury kwenye kutengeneza sera na uandaaji wa mahesabu ya jumla ya Serikal

Neema ni Mjumbe wa Bodi ya Wahasibu Duniani kanda ya Africa

Kwa kuteuliwa kwenye hiyo nafasi kutokana na conflict of interest atapoteza fursa nyingi japo kibongo bongo ukiteuliwa ukamchomolea Yule Mzee anakupora tenda zote kwa kumdharau
Kweli mkuu unamjua vizuri , Kuna cheo kingine amepewa nje ya nchi nimekisahau
 
Hivi kuna Mhindi (simaanishi ubaguzi) ambae anajihangaisha na hiyo CPA (T). Stuka ndugu
Sijakuelewa ,hila kama kuisoma iyo cpa au kuiconsider kwenye ajira , kama kuisoma wapo , eg demu mmoja muhindi tuligraduate naye na alipataga zawadi ya kufanya vizuri , nafikiri centre yake ilikuwa moshi au arusha
 
CPA ni mradi ulioletwa na Mengi na umetumika sana kuifisadi serikali!
Daah Tanganyika yangu...!
tapatalk_1511580414361.jpeg
 
Lakini wako wapi hao wahindi, The Big Audit firms zinaongozwa na CPAs, Stock Market Gurus pale DSE wengi ni CPA.

CFOs wa karibia 90% ya Mabank yetu ni CPAs.

wapi ACCAs
Interesting..! navyojua mimi wahindi wakimaliza shule, huwezi kukutana naye mtaani akiomba kazi especially Bongo. Those folks wana-target soko la ajira la nje na siyo ndani coz ACCA inatambulika duniani. wengine wanaenda kuendeleza kampuni/biashara za familia, that's why hukutani nao maofisini kama waajiriwa.
 
It's true. nina ndugu ni mwajiriwa kama accountant kwenye Halmashauri fulani huko Bongo, yuko underpaid ile hatari. nasikia CPA haiko considered for promotion kwa walio makazini(am not sure on this..)
Wanaconsider sema inategemea uko taasisi gani , Mimi nilipandishwa cheo kabla ya hata cheti sijapokea yaani baada ya Matokeo Tu , sema sasahivi cpas zimekuwa nyingi kwa hiyo waajiri wanaringa
 
Back
Top Bottom