Watahiniwa wa CPA njia panda

Watahiniwa wa CPA njia panda

Si ateuliwe kichwa Neema Kiure Msusa tusonge ....
Naona umekuja kumpigia DEBE neema msusa...goma lako nini? Nani kakuambia serikali huwa inateua wachaga/ wapare/ waarusha kwenye nafasi nzito kama hizo? Angekuwa kanda ya ziwa zamani sana angeshateuliwa.

Punguza mahaba niuwe kuanzisha uzi wa kumpigia debe mkeo au goma lako ili upate ulaji wa fyemilii...tazama maslahi mapana ya taifa.
 
Shule ya sheria ni kwamba watu wanafundwa na wanataaluma. CPA mtu anasomeshwa review na makanjanja tu wa mjini. Full vitini na ubabaishaji.
si kwelikwamba wanaosomesha cpa ni makanjanja,kama huamini kafundishe wewe,wanakua na cpa na masters wana makampuni ya maana na wengine ni malecturer vyuo mbalimbali
 
Mpaka mwaka jana Chairman alikua Prof Isaya Jairo.
Ndo nimeshangaa nimesoma comments za watu hata ambao nahisi ni wahasibu wenye CPA hawakuweza kumsaidia mleta uzi na wachangiaji wengine kuwa huyu Prof ndo alikuwa mwenyekiti wa NBAA baada ya Prof. Assad
 
Badala ya kukimbilia kufutwa angalia kwanini ilianzishwa. Professional bodies kuwa na mipaka ndani ya nchi ni kawaida. Hata marekani wana CPA yao

In reality CPA ya Tanzania ina mapungufu mengi sana.
Lazima tukubali kukosolewa. Kuna mambo mengi sana yanahitaji kufanyiwa marekebisho, if we are really serious.

Kwa sasa value ya CPA (T) ni minimal saana. Less quality.
 
Hoja ilikuwa CPA (T) kuwa Tanzania tu na kwamba ufutwe. Kurekebishwa na kuboreshwa 'is true for everything'
 
Shule ya sheria ni kwamba watu wanafundwa na wanataaluma. CPA mtu anasomeshwa review na makanjanja tu wa mjini. Full vitini na ubabaishaji.
Umenena kweli tupu ndugu. Makanjanja wanapiga tuition unaingia kwenye mtihan unapata CPA (T)
 
Mzee Baba JPM ....NBAA haisomeki huku ...
 
Muwe munatupa feedback. Baada ya kujadili ukiritimba wa hao masela wa CPA, je, mambo yalikwisha nyooka? Au bado ni usanii ule ule ili kuonyesha ugumu wa CPA.
 
Back
Top Bottom