Watahiniwa wa CPA njia panda

Watahiniwa wa CPA njia panda

Interesting..! navyojua mimi wahindi wakimaliza shule, huwezi kukutana naye mtaani akiomba kazi especially Bongo. Those folks wana-target soko la ajira la nje na siyo ndani coz ACCA inatambulika duniani. wengine wanaenda kuendeleza kampuni/biashara za familia, that's why hukutani nao maofisini kama waajiriwa.
Umemjibu vizuri sana!
 
bank zote local zinaongozwa na wazawa.. na bank zote za kimataifa hizo nafasi wanapewa wageni tu

Lakini wako wapi hao wahindi, The Big Audit firms zinaongozwa na CPAs, Stock Market Gurus pale DSE wengi ni CPA.

CFOs wa karibia 90% ya Mabank yetu ni CPAs.

wapi ACCAs
 
bank zote local zinaongozwa na wazawa.. na bank zote za kimataifa hizo nafasi wanapewa wageni tu
Sina Current facts, lakini
1.Barclays Bank, Rished Bade CPA (T) (Mtanzania mwenzetu) alipata kuwa CFO na baadae CEO
2.NMB - Major share holder bank ya kiholanzi, CFO wake mpaka recently alikuwa Mtanzania mwenzetu Waziri Barnabas CPA (T)
3. Kenya Commercial Bank, Hii imekuwa ni finance leadership ya kitanzania kwa Muda mrefu sana, wamepita hapo akina Seleman Ponda CPA (T) now CFO wa Tanzanian only International Bank (Exim Bank), CEO wa Kenya commercial Bank nae ni mwenzetu, CPA (T) pia.
4. Stanbic Bank, CFO Dada Lydia Kokugonza, our own, CPA (T)
5. Standard Chartered Bank, CFO pale ni one of own pia, one strong madam, Ruth Zaipuna CPA (T)

Kwa ufupi tu, na hizo ni Big Banks hapa Tanzania, sasa wewe unazungumzia wageni wepi?
 
Wakuu Msaada,

Me najiandaa na papers za foundation stage mwezi May, Nimeshindwa kupata materials na past papers za kutosha. Je,naweza kupata wapi?

Nipo mkoa wa Rukwa, Nimeshindwa kumpata hata teacher wa kunipush, Nahangaika mwenyew,

Kwa wazoefu, Je kuna watu huwa wanachakarika wenyewe kujisomea au hadi wapate training, discussion n.k

Naomba wajuvi mnisaidie hasa kuhusu upatikanaji wa materials.

Shukran
Wacontact NBAA wana relevant materials wanauza kwenye Library yao.
 
Ukikutana na huyo CPA holder utadhan umekutana na trafiki anayekutishia kukupiga faini na mashine yake ya EFD. Kichwan weupe kupitiliza
Utakuwa na chuki binafsi..si bure..vipi yule anayemtetea zero brain..naye vipi??vp wale walioaminiwa kujadiliana na akeshia??
 
Wakuu Msaada,

Me najiandaa na papers za foundation stage mwezi May, Nimeshindwa kupata materials na past papers za kutosha. Je,naweza kupata wapi?

Nipo mkoa wa Rukwa, Nimeshindwa kumpata hata teacher wa kunipush, Nahangaika mwenyew,

Kwa wazoefu, Je kuna watu huwa wanachakarika wenyewe kujisomea au hadi wapate training, discussion n.k

Naomba wajuvi mnisaidie hasa kuhusu upatikanaji wa materials.

Shukran
Njoo pm..
 
umetaja bank industry bila kutaja citi bank ujue wewe huijui industry? acha mambo ya alikuwaga mtaje wa sasa hivi hiyo baclays, acha mambo ya walipitaga.. taja wa sasa hivi..

zamani cpa ilikuwa inatisha sana na nalijua hilo.. ila kwa sasa hivi haitishi ndio maana hizo nafasi wanapewa wageni

taja wa sasa hivi acha historia...

nyinyi ndio watu wa mwaka 70 nilikuwa na maisha mazuri sana huku sasa hivi unapiga mihayo

Sina Current facts, lakini
1.Barclays Bank, Rished Bade CPA (T) (Mtanzania mwenzetu) alipata kuwa CFO na baadae CEO
2.NMB - Major share holder bank ya kiholanzi, CFO wake mpaka recently alikuwa Mtanzania mwenzetu Waziri Barnabas CPA (T)
3. Kenya Commercial Bank, Hii imekuwa ni finance leadership ya kitanzania kwa Muda mrefu sana, wamepita hapo akina Seleman Ponda CPA (T) now CFO wa Tanzanian only International Bank (Exim Bank), CEO wa Kenya commercial Bank nae ni mwenzetu, CPA (T) pia.
4. Stanbic Bank, CFO Dada Lydia Kokugonza, our own, CPA (T)
5. Standard Chartered Bank, CFO pale ni one of own pia, one strong madam, Ruth Zaipuna CPA (T)

Kwa ufupi tu, na hizo ni Big Banks hapa Tanzania, sasa wewe unazungumzia wageni wepi?
 
Interesting..! navyojua mimi wahindi wakimaliza shule, huwezi kukutana naye mtaani akiomba kazi especially Bongo. Those folks wana-target soko la ajira la nje na siyo ndani coz ACCA inatambulika duniani. wengine wanaenda kuendeleza kampuni/biashara za familia, that's why hukutani nao maofisini kama waajiriwa.

Wapo watanzania wengi tu wana hizo ACCA qualifications, na ukumbuke swala la kuaccess internationally education ama international respected qualifications ni swala la exposure na financial ability.

Kwa muda mrefu NBAA walikuwa wanaendesha mafunzo ya CPA kwa dhana ya vipanga wapate, vilaza watupwe nje, Na hapa msingi mkuu wa ukipanga ukiwa uwezo wa kusoma na kukariri kwa muda mrefu ikihusisha kukesha na kukesha na kukesha ukisoma.

Hii ukiongeza na ukweli kwamba, kama Tanzania hakuna uwekezaji wa msingi ulikuwa umefanyika kwenye sekta ya Elimu iliyopelekea kuwa na uhaba wa vitabu vya kutosha, ikawaondoa wahindi na kuwakimbizia huko ACCA.

ACCA ni kozi rahisi sana kufaulu kuliko CPA mpaka siku za karibuni.
Zamani walichokuwa wanafanya NBAA ni kwamba
kwanza wanalazimisha lazima ufanye mitihani isiyopungua mitatu, na ukufanya hivyo ni lazima ufaulu miwili, ukifanya mitihani mitatu ukafaulu mmoja wanahesabu umefeli yote (very awkward).

Matokeo yake, watu wanasoma kufaulu na sio kuelewa, sasa wamebadirisha, unaweza fanya mtihani mmoja tu, ukiufaulu poa, hii itawapa wanafunzi na ma CPA wetu fursa ya kusoma mambo kwa undani na mapana.

sasa hapo tunaweza wapina na wengine sawasawa
 
umetaja bank industry bila kutaja citi bank ujue wewe huijui industry? acha mambo ya alikuwaga mtaje wa sasa hivi hiyo baclays, acha mambo ya walipitaga.. taja wa sasa hivi..

zamani cpa ilikuwa inatisha sana na nalijua hilo.. ila kwa sasa hivi haitishi ndio maana hizo nafasi wanapewa wageni

taja wa sasa hivi acha historia...

nyinyi ndio watu wa mwaka 70 nilikuwa na maisha mazuri sana huku sasa hivi unapiga mihayo
Unaielewa Banking industry ya Tanzania wewe au unaongea ongea tu hapa.
Barclays Bank Tanzania, CFO wake wa sasa ni Mtanzania, simkumbuki jina.
Simuelewi wa Citi Bank na sintoshangaa akiwa ni Mtanzania pia.

sasa unataka kujenga hoja ya Bank Moja kuwa na CFO wa kigeni kusema Bank za kigeni hizo nafasi wanapewa wageni (shame) - unajua hata statistics wewe.

Ninamjua mmoja tu, tena sio mgeni, Mtanzania mwenzetu Alex Mziray, CFO wa FNB ndio mwenye ACCA na hiyo kwenye statistics inaitwa ni out layer, inaondolewa kwenye analysis.
 
Interesting..! navyojua mimi wahindi wakimaliza shule, huwezi kukutana naye mtaani akiomba kazi especially Bongo. Those folks wana-target soko la ajira la nje na siyo ndani coz ACCA inatambulika duniani. wengine wanaenda kuendeleza kampuni/biashara za familia, that's why hukutani nao maofisini kama waajiriwa.
Na kuhusu kazi.
Wapo wahindi wengi sana wenye ACCA hapa hapa Tanzania wanauza maduka yao au wanafanya Pet pet accounting jobs pia.wengi mno.
 
Wapo watanzania wengi tu wana hizo ACCA qualifications, na ukumbuke swala la kuaccess internationally education ama international respected qualifications ni swala la exposure na financial ability.

Kwa muda mrefu NBAA walikuwa wanaendesha mafunzo ya CPA kwa dhana ya vipanga wapate, vilaza watupwe nje, Na hapa msingi mkuu wa ukipanga ukiwa uwezo wa kusoma na kukariri kwa muda mrefu ikihusisha kukesha na kukesha na kukesha ukisoma.

Hii ukiongeza na ukweli kwamba, kama Tanzania hakuna uwekezaji wa msingi ulikuwa umefanyika kwenye sekta ya Elimu iliyopelekea kuwa na uhaba wa vitabu vya kutosha, ikawaondoa wahindi na kuwakimbizia huko ACCA.

ACCA ni kozi rahisi sana kufaulu kuliko CPA mpaka siku za karibuni.
Zamani walichokuwa wanafanya NBAA ni kwamba
kwanza wanalazimisha lazima ufanye mitihani isiyopungua mitatu, na ukufanya hivyo ni lazima ufaulu miwili, ukifanya mitihani mitatu ukafaulu mmoja wanahesabu umefeli yote (very awkward).

Matokeo yake, watu wanasoma kufaulu na sio kuelewa, sasa wamebadirisha, unaweza fanya mtihani mmoja tu, ukiufaulu poa, hii itawapa wanafunzi na ma CPA wetu fursa ya kusoma mambo kwa undani na mapana.

sasa hapo tunaweza wapina na wengine sawasawa
Binafsi hata mimi ukiniuliza ntakwambia sioni umuhim wa CPA maana haina kitu cha ziada inachomuongezea mhasibu kitaaluma.

Ingebadilishwa ikawa kama ya wanasheria au maengineer angalau ingeleta maana.

Wewe unasoma review class kisha ufanye mtihani ufaulu tu basi ndio kitu gani, na review ni kwa watu ambao wengi sio fresh from school, kukariri maswali na majibu ya pepa zilizopita kisha ukafaulu basi.

Kwa kweli utaratibu ubadilishwe.
 
Nakubaliana na wewe, lakini tukumbuke watu wote sio sawa. kukutana na CPA Kilaza sio sababu ya kusema CPA wote vilaza.

Nachojua mimi, mtu akiwa diligent kujiendeleza katika fikra za kihasibu, huyo anakuwa ni mtu bora sana na wamuhimu katika Jamii.
 
Nakubaliana na wewe kua hatuko sawa ila pia huu mfumo wa CPA wa kusoma maswali na majibu hauna chochote unachomuongezea mhasibu kitaaluma wala kiuelewa zaidi ya cheti chenyewe.

Kama mtu ni mzuri ni mzuri tu bila kujali ana CPA au hana. Uzuri wa mtu unatokana na uwezo wake binafsi ila sio kwa kua ana CPA au hana.

CPA haimjengi wala kumuongezea chochote mhasibu zaidi ya hicho cheti chenyewe ambacho kinatambulika kisheria.

Ukiwaweka wahasibu labda 100 kwenye chumba kimoja bila kujali wenye CPA na ambao hawana na ukawaambia wenye CPA wakuelewe kitu walichonacho extra kwenye uhasibu zaidi ya cheti cha CPA hawana. Maana yake ni kwamba kwenye practise ya uhasibu hakuna tofauti ya mwenye CPA na ambae hana ila tofauti yao inakuja kwenye certification tu.
 
Wapo watanzania wengi tu wana hizo ACCA qualifications, na ukumbuke swala la kuaccess internationally education ama international respected qualifications ni swala la exposure na financial ability.

Kwa muda mrefu NBAA walikuwa wanaendesha mafunzo ya CPA kwa dhana ya vipanga wapate, vilaza watupwe nje, Na hapa msingi mkuu wa ukipanga ukiwa uwezo wa kusoma na kukariri kwa muda mrefu ikihusisha kukesha na kukesha na kukesha ukisoma.

Hii ukiongeza na ukweli kwamba, kama Tanzania hakuna uwekezaji wa msingi ulikuwa umefanyika kwenye sekta ya Elimu iliyopelekea kuwa na uhaba wa vitabu vya kutosha, ikawaondoa wahindi na kuwakimbizia huko ACCA.

ACCA ni kozi rahisi sana kufaulu kuliko CPA mpaka siku za karibuni.
Zamani walichokuwa wanafanya NBAA ni kwamba
kwanza wanalazimisha lazima ufanye mitihani isiyopungua mitatu, na ukufanya hivyo ni lazima ufaulu miwili, ukifanya mitihani mitatu ukafaulu mmoja wanahesabu umefeli yote (very awkward).

Matokeo yake, watu wanasoma kufaulu na sio kuelewa, sasa wamebadirisha, unaweza fanya mtihani mmoja tu, ukiufaulu poa, hii itawapa wanafunzi na ma CPA wetu fursa ya kusoma mambo kwa undani na mapana.

sasa hapo tunaweza wapina na wengine sawasawa
Elimu ya kibongo ina mushkeli, na tatizo linaanzia kwenye mindset za watu wenyewe (watawala). Kila kitu kina historia nyuma yake, kama ulivyo uhasibu...walioandaa mitaala ya CPA walichemka kwa kuweka urasimu na ukiritimba kwa kuruhusu wachache wapate na wengi wabaki. kuna kipindi hapo zamani, watu walikuwa wanatambiana kuwa na CPA...na ukicheki mindset za wakuu wa NBAA wote waliopita na ma-CAG waliokwisha kupita...unaweza connect dots kuhusu kufaulu na kufeli kwa CPA.
Kuhusu waswahili nao kuwa na ACCA, siyo shida sana though kuna tofauti ya mswahili CPA na mwenye ACCA
 
umetaja bank industry bila kutaja citi bank ujue wewe huijui industry? acha mambo ya alikuwaga mtaje wa sasa hivi hiyo baclays, acha mambo ya walipitaga.. taja wa sasa hivi..

zamani cpa ilikuwa inatisha sana na nalijua hilo.. ila kwa sasa hivi haitishi ndio maana hizo nafasi wanapewa wageni

taja wa sasa hivi acha historia...

nyinyi ndio watu wa mwaka 70 nilikuwa na maisha mazuri sana huku sasa hivi unapiga mihayo
Jamaa amekujibu kwa facts we umekuja na maneno matupu tu.
 
Back
Top Bottom