kujua ni vitendo katika jambo mnasema pratrical wakati kuhafamu ni theory mfano unapokuwa darasan nakufundisha jinsi na kuvua samaki basi ile hali ya mimi kukufundisha na wewe kuelewa kwa kujibu maswali unakuwa umefahamu na nikikupa ndoano au nyavu ukaenda kuvua kwa kufuata jinsi nilivyokufundisha basi hapo unakuwa umejua na kuhusu jibu na jawabu hakuna utofauti ni mambo ya kirahaja tu hayo ambayo mameno yote mawili yamepata mashiko na kujulikana ila maana yake ni moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.