Mayai ya kienyeji...

Mayai ya kienyeji...

Mkuu, umehakiki ulichoandika kama vinaoana na kichwa cha Uzi wako?

Kichwa cha Uzi Kusini, contents kaskazini
Mkuu kuna dada kanicall wakati naandika thread hua namchangia mayai ya kienyeji sasa nimejikuta mpaka heading nimeandika hivyo hivyo tu! Mpaka nimejikuta nimepost mara 2
 
Toka na ingia pekee yake imejitosheleza bila kuweka ndani au nnje , kuisema kwa kumueleza mtu inategemea wewe msemaji upo ndani au nnje
 
Mkuu kuna dada kanicall wakati naandika thread hua namchangia mayai ya kienyeji sasa nimejikuta mpaka heading nimeandika hivyo hivyo tu! Mpaka nimejikuta nimepost mara 2
Pole Mkuu, waombe mods wafanye editing ya kichwa cha Uzi
 
Back
Top Bottom