Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,331
- 2,243
Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique gani hii jina lake ili nifatilie youtube make ukitafuta kwa cartoon za kawaida haiji.