Wataalamu wa mosaic Tiles naomba msaada wenu.

Wataalamu wa mosaic Tiles naomba msaada wenu.

Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles.

Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika kwa kutumia cement.?

Fundi wangu kasema ninunue cement na dukani nilikonunua hizo ndude wanasema zina gundi yake maalum.Fundi anadai cement ndo uhakika na kwamba dukani lazima waseme gundi ili wauze.

Sijui nimuamini yupi na ninaogopa fundi asijeniharibia ukizingatia hivi vidude bei yake imechangamka kidogo.

Natanguliza shukrani.🙏View attachment 3614123
Tumia gundi yake. Na fundi huyo achana nae.
 
Sawa nitafanya hivyo nashukuru mkuu
Hii bafuni kwangu ina miaka 6 sasa nilitumia gundi yake
20260624_085255.jpg
 
Sorry wakuu @prondo Pendaelli nje ya mada kidogo. @PRONDO

Eti unit moja ya maji ni ndoo ngapi.
 
Zikiwekwa kwa gundi yake itavutia zaidi n imara pia.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Asante mkuu.🙏

Kwa hiyo kumbe ka tank ka lita 2000 ni unit 2 tu.
Duuh!
Okay.
Sehemu ninayoishi bili ya maji Kwa mwezi ni 8,000 Kwa Kila mtu 🤔
Just imagine.
 
Back
Top Bottom