Sikumbuki security code chief...
Kwanini usifanye factory reset mwenyewe? Nenda setting then nafkiri setting ya mwisho ndiokureset
IPO katika hali gani? Ukiwasha inasema nini?mkuu naomba msaada wako nilikuwa nafanya factory reset kwenye simu yangu ya htc one sijuh nikafanyaje 2 nikajikuta nimefuta kila ki2 mpaka OS sasa naweza kuirudisha ikawa kama zamani maana nimechanganyikiwa kinoma mkuu
Sikumbuki security code chief...
IPO katika hali gani? Ukiwasha inasema nini?
IPO katika hali gani? Ukiwasha inasema nini?
yani nikiwasha inaishia kwenye yale maneno ya this build is for development purposes only ni htc e9s dual sim
Hd 2 umepata uko wapi.nivhrki kwa namba hii 0754604567 ninayo tachi tatizo tuWakuu,mimi naomba mtu mwenye HTC HD2 aniuzie,iwe nzima au mbovu.