Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,650
Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru

Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei namba hapa
 
Nakushauri kalipoti police wao ndo wanakupa ruhusa ya kuenda kwenye kampuni za simu kuifunga au kuweza kutrace sehemu ilipo.
 
wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa ninehangaika naona imekua mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana ntashukuru au hata kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata alieiiba hii simu ni ww tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei namba hapa
Fungua kesi upate loss report ndipo hayo mambo mengine yafuate. Jukumu la kufungua kesi hawezi kulifanya mtu mwingine isipokuwa wewe muhusika. Vinginevyo samehe tu kama ulivyosema
 
Hapo una wasiwasi umejaza mapilau yako ya kibabe na kimasihara km zote ndegelesi weee…!!!!
 
Ndio tatizo la polisi wetu, unapotelewa kitu ukidhani watakusaidia kukutafutia bila gharama yoyote
Nilimpata mwizi wangu akiwa amekamatwa Polisi kwa kosa lingine. Kufika pale, akaletwa na simu aliyokuwa nayo ambayo ni ya kwangu. Na yeye ananijua. Hadi napiga simu kwa wakubwa ndo nikapewa simu.

Nisingeipata, niliambiwa nipige picha box la simu, likapatikana likapigwa na picha zikatumwa WhatsApp, nashangaa naambiwa Tena kesi ni kubwa mno. Inabidi litumwe box kutoka Dar Hadi Bariadi Kama udhibitisho. Aisee.........sitasahau. Afande aliumbuka huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom