PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari zenu wakuu?. Jambo nalotaka kuuliza na kujua toka kwenu wataalamu ni matumizi ya MODEM na PC SUITE by phone on desktop internet connectivity. 6¦1Tofauti ya ubora wa connectivity. 6¦1Swala la speed.6¦1Njia ipi rahisi. Ni hayo tu wadau, maana kunajamaa yangu ananishaurigi hakuna umuhimu wa kununua modem kama unasimu ya Nokia...... Mungine anadai modem ni bora zaidi, asa ndio nakuja kwenu mnipe ujanja zaidi. Asanteni