Kwa Wajuzi wa Nokia PC Suite:Msaada/Ushauri

Kwa Wajuzi wa Nokia PC Suite:Msaada/Ushauri

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,278
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili.
Nime-instal software ya Nokia PC Suite ili kuniwezesha kutumia simu original ya nokia kama modem ku-access internet.
Nikinunua bundle ya voda naingia kwenye suite, nachagua option zote muhimu nina-browse kama kawaida.


Hivi majuzi nikataka kujaribu bundle za Tigo. Kwenye ile dropdown option ya kutafuta network provider, Sikuona Tigo Tanzania.Ila ipo Vodacom Tanzania. Nikababaika kidogo, nichague network provider gani? Nikaacha nikarudia bundle ya voda

Sasa nawauliza wataalamu wangu. Kama ninataka kutumia bundle za tigo nifanyeje ilihali kwenye network provider Tigo Tanzania haipo?
Asanteni sana.
 
Connect kwa kutumia hiyo hiyo ya voda, au kama simu yako ni ya brand za vodafone, T-mobile au nyingineyo waweza pia tumia hz pia. Mimi mwenyewe naunga kwa kutumia za voda au T-mobile.
 
SOLUTION:
home country(tz)
home operator:TIGO TANZANIA
Access point:Internet.
then settings zingine acha blank
HAPO UTAWEZA KUTUMIA NOKIA PHONE YAKO AS MODEM VIA NOKIA SUITE
 
Mimi pc yangu dell nmejaribu kudownload nokia pc suit nmeshindwa....
Mdogo wangu amedownload kwenye pc yake y samsung ndo natumia nokia yangu hapo...
Wakuu naomben msaada wa kudownload nokia pc suit kwenye dell yangu....asanten...
 
Mimi pc yangu dell nmejaribu kudownload nokia pc suit nmeshindwa....
Mdogo wangu amedownload kwenye pc yake y samsung ndo natumia nokia yangu hapo...
Wakuu naomben msaada wa kudownload nokia pc suit kwenye dell yangu....asanten...
 
Habari zenu wataalamu wa
jukwaa hili.
Nime-instal software ya Nokia PC Suite ili kuniwezesha kutumia simu
original ya nokia kama modem ku-access internet.
Nikinunua bundle ya voda naingia kwenye suite, nachagua option zote
muhimu nina-browse kama kawaida.


Hivi majuzi nikataka kujaribu bundle za Tigo. Kwenye ile dropdown option
ya kutafuta network provider, Sikuona Tigo Tanzania.Ila ipo Vodacom
Tanzania. Nikababaika kidogo, nichague network provider gani? Nikaacha
nikarudia bundle ya voda

Sasa nawauliza wataalamu wangu. Kama ninataka kutumia bundle za tigo
nifanyeje ilihali kwenye network provider Tigo Tanzania haipo?
Asanteni sana.

Angalia kuna tigo ghana... Tumia hiyo itakubali
 
Back
Top Bottom