Wataalam wa on-line shopping

Wataalam wa on-line shopping

Mbeky

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
672
Reaction score
520
Wadau natamani kufanya online shopping kupitia mtandao wa ebay, nishapata CRDB visa Card, nimesharegister paypal, swali langu ni kuhusu kodi, je kwa mfano nikiorder kitu ka saa ya dola 50 hivi ntalipia kodi kiasi gani, na ninalipia kodi wakati gani? wakati nalipia shipping fees au wakati napokea mzigo bongo, na kweli mizigo midogo midogo ka saa hiyo nayo inalipiwa kodi.?? Maana kuna watu niliowai sikia wakiagiza mizigo midogo ka saa, viatu, wallets hakuna malipo mengine zaidi ya bei ya mzigo na shipping fee.

Kwa kweli ka kuna mtu exactly aliwai kununua kitu ebay naomba ashare information na experience
 
computer na tablets havina kodi, ila vitu vyengine utalipia kodi vat 18% PLUS KUNA IMPORT DUTY 5% na kuna ushuru mwengine nimeusahau, na hizo kodi zote utalipia unapopokea mzigo, iwe irport au posta inategemea umetumia sipping gani... ila pia kuna mizigo inayokuja posta kwa njia ya register mail hiyo hautalipia hata centi 1 yaani hata handover fee hautalipa. god bless Tanzania Postal kwa kutujali na ndio njia pekee ambyo hautapigiwa simu ukkambiwa uende airport ukalipie mzigo wako na ni nji peke ambayo hakuna agent atakaekulipisha kwa ajili ya kukufanyia clearance.
 
Hapo kwenye njia ya pili ulioelezea unaichagua au ni namna gani unaweza kupokea mzigo wako?
 
computer na tablets havina kodi, ila vitu vyengine utalipia kodi vat 18% PLUS KUNA IMPORT DUTY 5% na kuna ushuru mwengine nimeusahau, na hizo kodi zote utalipia unapopokea mzigo, iwe irport au posta inategemea umetumia sipping gani... ila pia kuna mizigo inayokuja posta kwa njia ya register mail hiyo hautalipia hata centi 1 yaani hata handover fee hautalipa. god bless Tanzania Postal kwa kutujali na ndio njia pekee ambyo hautapigiwa simu ukkambiwa uende airport ukalipie mzigo wako na ni nji peke ambayo hakuna agent atakaekulipisha kwa ajili ya kukufanyia clearance.

Hiyo register mail mimi ndo nitamwambia muuzaji anitumie kwa njia hio au yeye ndo anaamua.
Na je nitapataje hio register mail?
 
Kuwa makini na Wanaigeria "wapopo" account yako usiweke dola nyingi.
 
mi nilimuuliza jamaa wa ushuru bandarini kanambia kama unaagiza kitu kimoja kama simu au tablet hulipii kodi ila kama unaagiza kwa biashara lets say simu 20 ndo utalipa kodi, so kwa dola 50 i think hakuna kodi
 
Wewe umeongea nn tena
Mbona winigeria hawaruhusiwi tumia paypal nchini kwao
Hivo hawawez tumia eBay
On top of that kama ume link kadi yako na paypal hata utoe siri za xard yako haziwez saidia lolote na siku zote unakuwa secured
 
mi nilimuuliza jamaa wa ushuru bandarini kanambia kama unaagiza kitu kimoja kama simu au tablet hulipii kodi ila kama unaagiza kwa biashara lets say simu 20 ndo utalipa kodi, so kwa dola 50 i think hakuna kodi
huyo amekupa wrong info mimi nilitumia UPS kutoka japan to Tanzania simu 1 tu na nililipa ushuru tsh 176,000+ UPS tanzania niliwalipa clearence fee tsh 94,000
 
Hiyo register mail mimi ndo nitamwambia muuzaji anitumie kwa njia hio au yeye ndo anaamua.
Na je nitapataje hio register mail?
inategemea mzigo unatoka nchi gani, kama marekani register mail inatambulikana kama USPS first class air mail, kama hong kong ni hong kong international registered air mail na china ni china post air mail. zipo nyingi ila muuzaji mwambie tu ni registered air mail ila inachukuwa 18-46 days kufika bongo.
 
Wadau natamani kufanya online shopping kupitia mtandao wa ebay, nishapata CRDB visa Card, nimesharegister paypal, swali langu ni kuhusu kodi, je kwa mfano nikiorder kitu ka saa ya dola 50 hivi ntalipia kodi kiasi gani, na ninalipia kodi wakati gani? wakati nalipia shipping fees au wakati napokea mzigo bongo, na kweli mizigo midogo midogo ka saa hiyo nayo inalipiwa kodi.?? Maana kuna watu niliowai sikia wakiagiza mizigo midogo ka saa, viatu, wallets hakuna malipo mengine zaidi ya bei ya mzigo na shipping fee.

Kwa kweli ka kuna mtu exactly aliwai kununua kitu ebay naomba ashare information na experience
Hata mie nasubiri majibu kuhusu hizi kodi maana naona kuna uficho na kiza kikubwa. Labda nikiri kua kuna parcels zangu ndogo ambazo zinafikaga kwene box langu bila ya kulipishwa chochote. Sijui ni criterion gani inatumikaga au wakiona mzigo umetuna basi wanaanza kusikia kiu ya kuukata kodi.

Ila majuzikati nilienda kuchukua mzigo wangu, baada ya kuona kimya ilhali niki-track mzigo unaonesha umefika, watu wa posta -EMS wakanikata handling fees ya kama 1,770 TShs ilhali huduma nzima ya usafirishaji nilishalipa kwa muuzaji na haya majamaa majinga ya EMS hayakuuwasilisha mzigo nyumbani au kwene sanduku langu la posta. Infwakt mzigo ulifika na kukaa kwao kwa zaidi ya wiki 3 bila ya wao kunijulisha kwa namna yoyote ile hadi nilipoenda ofisini kwao kufuatilia!..only in bongo (OIB) !

Baada ya kulipishwa hiyo 'handling fee', mzigo wangu nikaambiwa nikauchukue 'customs'..hawa ni matapeli wengine. Wakanipigia hisabu za uongo na kweli eti nilipe VAT 18% na Excise Duty 25%! ukijumlisha hapo ni kwamba ili kufikisha parcel yako nyumbani inabidi uongeze 43% ya bei ya manunuzi na mbaya zaidi hiyo 43% wanapigia hesabu based on bei ya manunuzi+shipping..! AT that moment then i knew i was fvcked..baada ya kusikia upuzi wa huyu mwizi wa customs, nikampasulia wazi kua sina hiyo ela na sina mpango tena wa kuagiza bidhaa kutoka nje kwa upuzi wa kodi za ksnge namna hii, hasa ukizingatia mzigo wenyewe ni mmoja na ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani si kwa minajili ya kibiashara. Baada ya kuniona nimedhamiria akaomba 'tuzungumze' nami sikufanya ajizi nikampa buku 20 tu nikatoa mzigo bila risiti..

Nnachoeza kusema ni kua serikali iwe inatumia akili japo kidogo, huezi ukamwambia mtu alipe 43% ya jumla ya gharama ya manunuzi na uchukuzi eti ni kodi, kodi kama hii ni wazi hailipiki na haimeki sense. Kwa minajili hii nchi itaishia kuonekana ina kodi nyingi kumbe zaidi ya 50% hazikusanywi na/au zinaliwa na wajanja wachache. Pia ni vema idara husika itoe elimu kwa walipa kodi na kuhakikisha kodi zinalipwa benki badala ya hawa waizi wanaojinadi kama maafisa kodi wa customs ili kue na mazingira yanayotabirika na ya uazi. Kuna nchi nilishawahi kuishi, hizi kodi zinakuaga zinakusanywa na haohao couriers company unapoletewa mzigo nyumbani kwako kwa maana kwamba wanakua tayari watu wa customs wameshakagua na watachukua kodi kutoka kwao. Na kwa uzoefu wangu ni kategori chache sana za bishaa ambazo nakumbuka zilikua zinakatwa kodi ya aina yoyote. Guess kufikia hapo this dinosaur's generation/system of Magamba has to vanish first.

Yangu ni hayo tu.
 
huyo amekupa wrong info mimi nilitumia UPS kutoka japan to Tanzania simu 1 tu na nililipa ushuru tsh 176,000+ UPS tanzania niliwalipa clearence fee tsh 94,000
Duh, pole sana fellow traveller..Tz ni nchi ya ajabu sana/
 
Ni bongo tu ndo kumekua na wizi wa ajabu kwenye import duty za ajabu ajabu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
computer na tablets havina kodi, ila vitu vyengine utalipia kodi vat 18% PLUS KUNA IMPORT DUTY 5% na kuna ushuru mwengine nimeusahau, na hizo kodi zote utalipia unapopokea mzigo, iwe irport au posta inategemea umetumia sipping gani... ila pia kuna mizigo inayokuja posta kwa njia ya register mail hiyo hautalipia hata centi 1 yaani hata handover fee hautalipa. god bless Tanzania Postal kwa kutujali na ndio njia pekee ambyo hautapigiwa simu ukkambiwa uende airport ukalipie mzigo wako na ni nji peke ambayo hakuna agent atakaekulipisha kwa ajili ya kukufanyia clearance.

Sio kweli..kama hukulipa ni kwa sababu ya crazy coincidence ya kunguru kumnyea mtu, kadhia niliyoielezea hapo juu i case ya 'registered parcel'. All in all, siamini kama kuna sababu ya kuwalipisha watu kodi wanaonunua kitu kimojakimoja kwa matumizi ya nyumbani ambavyo vitu hivo havitengenezwi Tz, kwa maana havitaathiri soko au viwanda vya kizalendo/
 
Are u a traveller too? Au huelewi the true meaning of traveller fellow?
 
Tena mbao ya ajabu huanzia pale wakigundua kile kitu kina thamani zaidi ya dola 500 ndio utajuta tena hata ukidanganya bei wabasearch google pale pale airport hahaha
 
mi nilimuuliza jamaa wa ushuru bandarini kanambia kama unaagiza kitu kimoja kama simu au tablet hulipii kodi ila kama unaagiza kwa biashara lets say simu 20 ndo utalipa kodi, so kwa dola 50 i think hakuna kodi

kwahiyo mdau nikiagiza kasaa kangu kazuri kazuri ka dola 50 naweza kukapata bila kodi, au kasimu kangu ambako kapo kwenye deals za ebay let's say dola 120 kanaweza tua bongo kimya kimya bila TRA kunusa, maana mdau unaweza ukadhani unasave gharama kwa kutaka kufanya online shopping kumbe unajibebesha mzigo wa miba
 
Back
Top Bottom