Wataalam wa ndoto njooni hapa

Mkuu hebu fafanua kidogo, ulikua unamaanisha mtu wa saba ku comment au atakayepost comment ya saba?
Au katika kuhesabu comments na post yenyewe inahesabika kama comment ya kwanza? πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Nebuchadinezzer,
 
Mkuu hebu fafanua kidogo, ulikua unamaanisha mtu wa saba ku comment au atakayepost comment ya saba?
Au katika kuhesabu comments na post yenyewe inahesabika kama comment ya kwanza? πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Yani ilipofika post namba sita watu waka stack kama MB zimeisha vile, basi akajitokeza muhusika na sasa tumeishaanza michango,we unachanga ngapi?
 
Yani ilipofika post namba sita watu waka stack kama MB zimeisha vile, basi akajitokeza muhusika na sasa tumeishaanza michango,we unachanga ngapi?
Mkuu bado mapema sana, ngoja kwanza tukafikishe posa kwanza.
Ukichanga sasa hivi unaweza ukakuta story inahamia kwenye uzi wa "... kimasihara"
 
Ukihesabu na post yenyewe kama ni comment ya kwanza. Ya saba inakuwa yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bibi harusi wetu ni weweπŸ€ͺπŸ’πŸ’ƒ

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lakini mnajua muhusika aliyeotwa ni Sky Eclat manake vigezo vyote amefit.... mimi mnaniuzia mume tu!πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza comment yangu ni ya sita πŸ˜†
 
Back
Top Bottom