LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,222
Wakuu naomba msaada wenu mim ni fundi ktk fan ya auto electrical(umeme wa magari) pamoja na electronics na elim ya ufund hiyo niliipata veta chang'ombe dar es salaam.
Nataka niongeze ujuzi zaidi kwa kusoma course ya computer ili niwe na2mia computer ktk ufundi wangu kwani magar na vifaa vya electronics ving sasa hiv matengenezo yake (repair) yanafanywa kwa ku2mia computer.
Na mim cjasoma kbs mambo ya computer zaidi ya kujifunzia mtaan.Na sina ufaham wowote juu ya koz za computer.
Nilikuwa naomba kujuzwa/fahamishwa ni koz ipi nikisoma inaweza kunisaidia??
Naomben sana msaada wenu wakuu kwa hili.