KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 3,376
- 4,298
Eeee hi sayansi kali aisee Binti wa zamani secretarybird a.k.a ka aviator Mbaga Jr njooni hukuMimi hapa msukuma haya sikia niwaambie nyie MAPENZI HAYAHITAJI UFUNDI UMARUFU UKIZIDI SANA NI USHAMBA hebu angalia leo taifa la tanzania SISI WASUKUMA NI WENGI KULIKO MAKABILA YOTE WHY Anaye chakalika kitandani ni mwanaume ikitoa maelekezo kwa mwanamke naye mke anatii kwautulivu anadaka goli mimba inatungwa maana mbwembwe zikizidi mimba haitungwi ispokuwa inaharibika wakati wa papara nyingi yai linapasuka maana yai ni lain likitikiswa kidogo2 linapasuka