Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,773
- 27,188
natunza uvulana wangu mie 😜😜Bikraaaaaaaaaaaaa 😂
View attachment 3400801
Ujue hizo za biashara hawazioni mkuu na sio wanazipita.Sijui kwanini nyuzi za hovyo hivi ndo huwa zinapata wachangiaji wengi lakini ukienda kule jukwaa la biashara na ujasiriamali utakuta nyuzi zimejaa nondo ila wanazipita kama hawazioni. Wicked generation
Kweli inafikirisha mkuuUjue hizo za biashara hawazioni mkuu na sio wanazipita.
Zinazokuja chap ni kama hizi zinazofunguliwa mara kwa mara ndio maana hata wewe umeiona mapema kabisa.
Unachosema ni kweli mkuu, nimekua nikishangaa sanaNilishindwa kuandika nyuzi za kuumiza kichwa ambazo zinakuwa zako tu na watu wawili au watatu.
Ila ukiandika hizi za kumwaga maji na uchawi uko hapa, tutajaa kama wote!.
Andika tu mkuu, ujue hizi nyuzi sijui jinsi zinavyochangiwa sana basi ndio zinaonekana sana hata sielewi.Nilishindwa kuandika nyuzi za kuumiza kichwa ambazo zinakuwa zako tu na watu wawili au watatu.
Ila ukiandika hizi za kumwaga maji na uchawi uko hapa, tutajaa kama wote!.
Kweli mkuu, kila nikiangalia takwimu za ule Uzi wa kula tunda kimasihara huwa nashangazwa na mafuriko ya likes na comments mpaka siku moja niliufungua ili nione kinachowafanya watu kujazana kwenye huo uzi. Daah nilicho kikuta sasa 😕WaTanzania ni qaprnf
Wapenda ngono sana na hii thread itapata massive comment we subiri tu
Mzee unaijua milioni 6? Sensa iliyopita mwanza yote haifiki watu 4MYaani kabila lenye wanawake wapatao milion 6 wahukumiwe Kwa sample ya wazinzi watatu tu wa jamiiforums?
Niko hapa Kiborironi. 😂😂😂😂😂Upo sehemu gani wewe mchaga ?
Dalili ya jamii mufilisi hiyo mkuu! Hatutafika popote kwa jamii hii ya kishenzi inayoamini na kuwaza mapenzi kila uchwaoKweli mkuu, kila nikiangalia takwimu za ule Uzi wa kula tunda kimasihara huwa nashangazwa na mafuriko ya likes na comments mpaka siku moja niliufungua ili nione kinachowafanya watu kujazana kwenye huo uzi. Daah nilicho kikuta sasa 😕
We ni msukuma "bro" ?Hili limeniumiza saanaa 🎼🎵
Wee mpuuzi umesababisha nicheke kwa sautiMkija kwa wachaga npo tayari kutoa ushahidi....ata kama nimezibwa mdomo nitaropoka tu