Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,849
😹😹😹😹Pwani mh... Wanagawa kama pipi. Halafu hata waume zao hawana wivu.
😹😹😹😹Pwani mh... Wanagawa kama pipi. Halafu hata waume zao hawana wivu.
😹😹😹🙌Jifanye wataaalam wa mapenzi na mkipata miwaya mlete mrejesho ☹️
😂😂😂 Aviola simuwezi mie maMtukwani umelazimishwa, si ukaache ukatafute kabinti katanga kakukatikie viuno.
We kubali tu matokeo kama mwenzako Big Balls ambaye amejisogezea mnenguaji Aviola.
Mshangazi bila Shaka wewe ni msukuma 😹😹Ukapendee hivyo vingine ambavyo kanaweza bila shaka kabinti ka watu kana akili na kana heshima.
Kiuno kiwe kilaini kwani kenyewe kacheza dansi?
Usipoweka mpira linaoza maana katerero sio mchezo😁😁😹😹😹 Mnaozesha magodoro tu..!!
Hii tuzo ni yenu bila ubishi..!! 😹😹Usipoweka mpira linaoza maana katerero sio mchezo😁😁
Wapenda ngono sana na hii thread itapata massive comment we subiri tuSijui kwanini nyuzi za hovyo hivi ndo huwa zinapata wachangiaji wengi lakini ukienda kule jukwaa la biashara na ujasiriamali utakuta nyuzi zimejaa nondo ila wanazipita kama hawazioni. Wicked generation
Hapana ila natokea jirani huko huko kanda ya ziwa.Mshangazi bila Shaka wewe ni msukuma 😹😹
Imekuwaje tena?😂😂😂 Aviola simuwezi mie maMtu
😂😂😂😂 wee uduguu, nimekumbuka kitu, nimecheka sana.Hii tuzo ni yenu bila ubishi..!! 😹😹
Mkifatiwa na wangoni kina cocastic
Sijajua Dr. Mariposa yeye kabila gani? 🤣
Nilishindwa kuandika nyuzi za kuumiza kichwa ambazo zinakuwa zako tu na watu wawili au watatu.Sijui kwanini nyuzi za hovyo hivi ndo huwa zinapata wachangiaji wengi lakini ukienda kule jukwaa la biashara na ujasiriamali utakuta nyuzi zimejaa nondo ila wanazipita kama hawazioni. Wicked generation
Wakenyavwakoje kwanza!Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,
Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..
Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu tu hizi.
Umekumbuka nini? 😹😹😂😂😂😂 wee uduguu, nimekumbuka kitu, nimecheka sana.
😹😹😹 Nilijua tu bhasi wewe utakua muhaya km nyamwi..!!Hapana ila natokea jirani huko huko kanda ya ziwa.
Sipendi kuona jirani zangu wanasemwa vibaya, wanakua wanyonge 😂 😂
Bosslady. Thenki yu !Wanawake wa kisukuma kwenye kazi/ utafutaji/ uchakarikaji wako Vizuri sanaaaa
Ukikuta mwenye maadili ni maadili kweli kweli hadi majirani ndugu wataapreciate
Wacha wanaume waliowatia wanawake wa kisukuma waje kutoa mwongozo
Smart911 love hujawahi fumua msukuka utupemo kamwongozo????🤨🤔
natunza bikra yangu mie 😂😂Imekuwaje tena?